Francisca shirima owner of FRANKOO label.
Born artist with over few years in the fashion industry,Frankoo is a devoted enthusiast of the fashion industry whose creativity has impressed a large number of Tanzania’s Fashion industry elite.
Frankoo believes fashion plays major role in people’s everyday life. Her natural progression as a designer was instinctive, she felt she was born to do it.
Frankoo's talent as a fashion designer stemmed from being a jewellery maker to garment designs
Designer: Francisca Shirima
Brand: Frankoo
Facebook: Frankoo Designs
Jamani hii ni swahili fashion au ni swanglish fashion,kwani material ni sahihi ya swahili ila fashion yaani mshono wenyewe ni english/french kwa maana ya mshono.
ReplyDeleteTujaribu sana kubuni mishono yetu,tusifikiri kuwa kila mila ya wenzetu kwetu tuone kuwa ni maendeleo.Tuwe wabunifu zaidi.
Hii mia kwa mia ni hata ukiangalia mikogo yao ya kutembea sio ya Kiswahili,hivi mrembo mwenye mtungi wa maji kichwani akitokea kisimani anaweza tembea hivyo? sisi wamenya mbaazi hatutembei hivyo kamwe,,,,,hii ni English+French+American+Italian=Western Fashion show: na sio Swahili!
ReplyDeletewakonongo hatuna utamaduni wa kuvaa soksi!
ReplyDeleteTokea lini waswahili wakavaa nusu uchi? Acheni kuwadhalilisha waswahili!
ReplyDeleteBig up Franco, huzi nguo naweza kuvaa kwenye kitchenparty na sehemu mitoko mingine kibao. Wanaoponda soksi hata yale mavazi yanayoonyeshewa fashionshow ulaya sio lazima mtu uchukue kila kitu ukakivae kwa wakati mmoja. Hamuwezagi kuona kizuri katika analo fanya mtu? ni kuponda tuuuuu.
ReplyDeleteOnce more Franco big up, ntakutafuta unidesignie nguo yangu.
nguo nimezipenda ila soksi kidogo zinanichanganya akili. sielewi alikuwzaa anafikiria nini.
ReplyDeletekwa kweli huu ndio tunauita ubunifu... wa kimataaifa....watanzania tujifunze kubadilika
ReplyDeletehakuna hata ubunifu wowote hapo naona ni kukopi mavazi ya western countries tu. tubuni kutoka katika utamaduni wetu na kuhusu material sio lazima iwe khanga sababu hiyo inawakilisha watu wa pwani sana kuna material nyingi ambazo zinavaliwa na makabila yetu mengi tanzania
ReplyDeleteWaswahili bwana kila kitu sawa, mwadada kavaa soksi moja eti uswahili tena viatu virefu kama twiga, wapi na wapi? Huu mchezo tu utamaduni mzuri wa sisi wamasai tu wengine mmeshapoteza dira. Tena uswahili??? na vimini mtadhubutu kuvaa mbele ya mama/baba zenu. Siku zingine fanyeni kuchunguza waswahili kabla hamjawaambia watu vitu waswahili wenyewe hawavijui.
ReplyDeleteBosi wa hii shughuri kama ni mmakonde basi mwenye percentage kubwa ni muwekezaji ( mzuka au gabacholi). Kwa hiyo mambo yote ni ya kimagharibi.
ReplyDeleteHakuna ubishi huu ni MCHANYATO wa kiutamaduni, yaani mchanganyiko wa kiswahili na ugeni...Mpaka swing za utembeaji ni za Kizungu!,,,ila zaidi ugeni kwa kuwa mavazi yetu hatuna utamaduni ktk kabila lolote la kikonongo wapovaa mavazi mafupi au ya mwili nusu wazi!
ReplyDelete