Kocha Mkuu wa Timu ya Hazina Zeno Mputa(wa tatu kulia) akitoa maelezo kwa Timu yake leo wakati wa mapumuziko ya nusu fainali ambapo yalisaidia Timu yake kuibuka mshindi kwa kuifunga RAS Tanga magoli 5 kwa 3. Fainali itakuwa kati ya uchukuzi na Hazina.
Timu ya Mpira ya Hazina ikiwa harakati za kufanya mashambulizi katika lango la RAS Tanga leo katika mchezo wa nusu fainali ulimalizika kwa Hazina kuibuka mshindi kwa kuifunga Ras Tanga kufunga jumla ya goli 5 kwa 3. Fainali itazikutanisha Hazina na Uchukuzi katika mchezo utakaofanyika Ijumaa(kesho) katika Uwanja wa Mkwawani jijini Tanga.Picha na Tiganya Vincent, Tanga

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Big up Uchukuzi Ubingwa Wenu. Tunwasubiri ofcn kupokea kombe

    ReplyDelete
  2. Bigup HAZINA mnasubiriwa na Mhe Mkulo mkiwa na Kombe la Ubingwa wa SHIMIWI. Hazina Hoyeeeeeee

    Mwanamichezo Chang'a

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...