Baadhi ya waumini walioshirki katika Ibada ya kuwaombea Mapadri waliofariki katika ajali ya gari eneo la Ruvu kwa Zoka mapema Wikii hii. Ibada hiyo lifanyika leo katika Parokia ya Pugu jijini Dar es salaam. Serikali iliwakilishwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh Bernard Membe. Picha na Assah Mwambene
Home
Unlabelled
Ibada ya kuombea mapadri waliofariki kwa ajali ya gari Ruvu yafanyika leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Mna majina yao?
ReplyDeleteWastarehe kwa amani wamisionari hawa. Imeuma sana kwa kweli lakini ndio mapenzi ya Mungu.hatuna fursa hata ya kumwuliza dreva kwa nini alifanya vile yaani we acha Mungu. Mngu uwapokee watumishi wako.Amen
ReplyDelete