Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira wakiwa katika Hifadhi Tarajiwa ya Kisiwa cha Saanane nje ya jiji la Mwanza. 
Picha na mdau Pascal Shelutete wa TANAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. HEHE KINA MAMA VAINI BASI NGUO ZINAKWENDA NA HAHALI
    SASA GAUNI REFU KWENYE MBUGA ZA WANYAMA?
    VIATU VIREFU:-)
    MADIZAINA WA BONGO WAFUNDISHENI MAMA ZETU BUNGENI ATI

    ReplyDelete
  2. Niliwahi tembelea kiswa hichi mida ya 2002. Niliwahi pia kumuuliza mwenyeji wangu ni kwa nini hakuna hifadhi madhubuti hapa kisiwani kwani kuna mali asili nzuri na ajabu na huwenda zikapotea. hakunijibu kikamilifu.Ila sasa nafarajika kuona habari hii njema.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...