Mkurugenzi wa Fedha na Utawala wa Shirikisho la Soka Nchini (TFF) Mtemi Ramadhani akimkabidhi Chimwemwe Birry medani katika hafla ya kufunga mafunzo ya kimataifa ya michezo katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam
Selemani Bofu akipongezwa na makocha kutoka klabu ya Manchester United baada ya kuwa mfungaji bora wakati wa mazoezi ya kufunga katikati Paul Bright kushoto Billy Miller .
MtemiRamadhani - THE LEGENDARY!
ReplyDeletechin up man!!! show you the man.This shows how weak we africans are over weupe!!!!Lets teach our kids to be on top!!!
ReplyDelete