KWA WALIOKUWA WAFANYAKAZI WA MSF WOTE!!!!
NAPENDA KUWAFAHAMISHA KUWA KUTAKUA NA KONGOMANO LA WALIOKUWA WAFANYAKAZI WA MSF SPAIN HAPA TANZANIA.
KONGOMANO HILI LITAFANYIKA KATIKA UKUMBI WA LANDMARK TAREHE 12/11/2011 SAA TISA KAMILI,ALASIRI, JOHN MULLA NA WAWAKILISHI WENGINE TOKA MSF SPAIN NAIROBI WATAKUA HAPA NA MENGI YATAJADILIWA IKIWA NI PAMOJA NA UWEZEKANO WA KUFUNGUA OFFICE TENA YA MSF EAST AFRICA HAPA TANZANIA, TAFADHARI FAHAMISHA WOTE UWAJUAO. NA FIKENI BILA KUKOSA
KWA MAWASILIANO ZAIDI TAFADHARI WASILIANA NA
JOHN MULLA +254717415266
NB: NI KWA WALIOKUWA WAFANYAZI WA MSF BILA KUJALI KADA ZAO
HAJI LUKABA
umesomeka mkuu, mwakilishi MSF ZANZIBAR MAMA MWENYEWE..
ReplyDeleteILU