MAREHEMU KANAEL EDWARD NTALIMA
29.11.1998 - 29.11.2011
Ni miaka 23 tangu Mama yetu mpendwa ulipotutoka, kwa akili za kibinadamu ni vigumu kuamini ijapokuwa kimuonekano ni miaka mingi, ndani ya mioyo yetu bado tunaona ni kama jana tu. Unakumbukwa na wanao George, Pricilla, Matty, wakwe zako na wajukuu zako.
Tunamuomba Mwenyezi Mungu akupumzishe mahali pema peponi. “Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina la Bwana lihimidiwe” Amen.
Misa za kumbukumbu zitafanyika tarehe 29/11/2011 saa 12.30 Asubuhi na tarehe 3/12/2011 saa 12.30 Asubuhi katika kanisa la Mtakatifu Maximillian Kolbe, Mwenge.
Poleni sana, Mungu azidi kuwajalia umoja, upendo na moyo wa kujitolea, kama Mama alivyokuwa anapenda. Pumziko la Milele Umpe ee Bwana, na Mwanga wa Milele umuangazie. Mama Ryan
ReplyDeletemuchi mbona ni miaka 13, hesabu mekwenda kombo!
ReplyDeleteRIP