Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania, Leodegar Tenga ambaye pia ni Rais wa CECAFA, akipokea tuzo baada ya kutangazwa kuwa Balozi wa United Against Malaria Tanzania na mmoja wa viongozi wa taasisi ya Johns Hopkins nchini, Anna McMartney (kushoto) katika hafla ya kuyakaribisha mashindano ya Tusker Challenge Cup yanaliyoanza kutimua vumbi jijini Dar es Salaam jana. Hafla hiyo iliyoandaliwa na United Against Malaria ilifanyika juzi jijini humo. Katikati ni Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukandara.
Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania, Leodgar Tenga ambaye pia ni Rais wa CECAFA, akipokea tuzo baada ya kutangazwa kuwa Balozi wa United Against Malaria Tanzania na mmoja wa viongozi wa taasisi ya Johns Hopkins nchini, Anna McMartney (kushoto) katika hafla ya kuyakaribisha mashindano ya Tusker Challenge Cup yanayoanza kutimua vumbi jijini Dar es Salaam leo. Hafla hiyo iliyoandaliwa na United Against Malaria ilifanyika jana jijini humo.
Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania, Leodegar Tenga (wa tatu kushoto) ambaye pia ni Rais wa CECAFA,akimtambulisha mmoja wa viongozi wa taasisi ya Johns Hopkins nchini, Anna McMartney (kushoto) kwa Mumbe wa CAF kutoka Afrika Kusini, Molefi Alephant (wa pili kulia) katika hafla ya kuyakaribisha mashindano ya Tusker Challenge Cup yanayoanza kutimua vumbi jijini Dar es Salaam leo. Hafla hiyo iliyoandaliwa na United Against Malaria ilifanyika jana jijini humo. Wa pili kushoto ni Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukandara na kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Serengeti Breweries, Richard Wells.
Hivi kwanini always kwenye matukio huchaguliwa watu wenye sifa zote kwani hawawezi kumpa mtu wa kawaida lazima awe anajulikana ndo achukue nafasi kama hizi???? nadhani tungebadilisha hiyo tabia na mawazo hayo!!
ReplyDeletenafikiri ni nzuri sana kwa kiyongozi kama Tenga kujali afya ya watanzania
ReplyDelete