Wakati tunapokuwa tunajiandaa kuelekea katika sherehe za miaka 50 ya uhuru Urban Pulse Creative watakua wanakuletea mtiririko wa Mahojiano maalum kutoka kwa Mh Waziri Mkuu Mizengo Pinda ili kutuelimisha na kutupatia changamoto mbalimbali zinazozikabili taifa letu.
Hii ni sehemu ya kwanza ya Mahojiano hayo.
Asanteni Sana,
URBAN PULSE CREATIVE
Nimependa kwa jinsi Pinda alivyo jibu maswali yake bila kuchanganya lugha (kiswahili na kingereza). Lakini huyo mwandishi wa habari sijui? Kujipenda ni pamoja na kuupenda utamaduni wako...ambapo lugha yako ni moja ya misingi ya utamaduni.(Maoni yangu tu)
ReplyDelete