Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza wakati wa Kongamano la Msafara wa kuelekea katika mkutano wa mabadfiliko ya Tabia Nchi unaotarajia kufanyika Durban Afrika ya Kusini mwezi ujao. Kongamano hilo limefanyika leo Novemba 15, 2011 kwenye Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokea Madai ya Wananchi ya Namna ya kukabiliana na Mabadiliko ya Tabia nchi, kutoka kwa Mwanaharakati wa Mabadiliko ya tabia Nchi, Laurence Chuma, wakati wa Kongamano la Msafara wa kuelekea katika Mkutano wa Mabadiliko ya Tabia Nchi unaotarajia kufanyika Durban Afrika ya Kusini mwezi ujao. Kongamano hilo lilifanyika kwenye Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam leo Novemba 15, 2011. Katikati ni Mwakilishi wa Asasi za Mabadiliko ya Tabia Nchi, Rebecca Muna. Picha na Muhidin Sufiani-OMR

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. jamani si nimesikia mwalimu nyerere amekufa je mbona naona hii picha hapa jamani mimi siko bongo longtime na leokama bahati tu nimeingia katika hii blog na nilikuwa sijui. sitani jamani nisadiyeni au huyu siye.
    kutoka afghanistan

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...