Maandalizi ya mahafali ya 23 muhula wa Mwaka 2010 /2011 ya Chuo Kikuu Huria Tanzania yameanza kufanyikia katika makao makuu ya chuo yaliyoko maeneo ya Bungo Wilayani Kibaha,mkoani Pwani.Mahaali hayo yamepangwa kufanyika  Novemba 26, 2011
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Huria Tanzania,Prof. Toll Mbwette akikagua ujenzi wa daraja la kuingilia katika eneo la Chuo ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya Sherehe ya Mahafali ya 23 ya Chuo hicho.
Mtunza stoo wa Chuo Kikuu Huria Tanzania,Bi. Anna Moleli (kulia) akimuonyesha Meneja wa Ujenzi wa Chuo Kikuu Huria,Bi. Joyce Mori majoho yatakayovaliwa siku ya mahafali ya chuo hicho  mnamo Novemba 26, 2011. Picha na Chris Mfinanga.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...