Bondia Mussa Mohamedi (kulia) akioneshana ufundi wa kutupa makonde dhidi ya mpinzani wake John Christian wakati wa mashindano ya Kova Cup yaliyofanyika jijini Dar es salaam jana.Mussa alishinda kwa point.
Bondia Sunday Elius akipambana na Abdallah Kasimu wakati wa mashindano ya Kova Cup Dar es salaam jana.Kasimu alishinda kwa point.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...