Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera, akimweka matone ya chanjo mmoja wa watoto waliochanjwa siku ya kwanza ya kampeni ya kitaifa ya Chanjo, Novemba 12, mwaka huu, eneo la Dumila, Kilosa.
Baadhi ya akina mama wa jamii ya kimasai na wengine wa Kata ya Dumila, Wilaya ya Kilosa, Mkoa wa Morogoro, wakisubiri chanjo kwa watoto wao.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...