Katibu Mkuu wa CCM Wilson Mukama akimlaki Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC) Liu Yunshan ambaye pia ni Mjumbe wa Sekretarieti ya Kamati Kuu na Mkuu wa Idara ya Uenezi ya chama hicho, alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam, kwa ajili ya ziara ya siku tatu hapa nchini kwa mwaliko wa CCM.
Katibu Mkuu wa CCM Wilson Mukama akimtambulisha Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC) Liu Yunshan ambaye pia ni Mjumbe wa Sekretarieti ya Kamati Kuu na Mkuu wa Idara ya Uenezi ya chama hicho kwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenerzi Nape Nnauye, alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam, kwa ajili ya ziara ya siku tatu hapa nchini kwa mwaliko wa CCM. Kulia ni Katibu wa NEC, Uchumi na Fedha CCM, Mwigulu Nchemba. (Picha zote na Bashir Nkoromo).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Ujamaa una rudi Tanzania....chama cha Kikomunist?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...