Mkuu wa mkoa wa Ruvuma,Mh. Said Mwambungu (kulia) akisisitiza jambo wakati alipotembelea mabanda ya maonyesho kwenye ufunguzi wa sherehe za miaka 50 ya uhuru ambazo kimkoa zilifanyika katika viwanja vya nane nane mjini songea.Kushoto ni Dkt. Ngowi wa hospitali ya mkoa songea.
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Mh. Said Mwambungu akiangalia moja ya viatu vilivyotengenezwa kwa kutumia ngozi ya mbuzi na mafundi kutoka muungano wa viwanda vidogo nchini (MUVI) zamani sido mkoani humo wakati wa maonyesho ya ufunguzi wa sherehe za miaka 50 ya uhuru yaliyofanyika katika viwanja vya nane nane mjini songea.kulia ni Kaimu Meneja wa ISDO mkoa wa Ruvuma,Richard Mbambe.Picha na Muhidin Amri wa Globu ya Jamii - Ruvuma.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...