Hi, Bro Naomba unitolea taarifa yangu hii!
Napenda kuchukua nafasi hii kuwataarifu watanzania walioalikwa kwenda kuhudhulia sherehe za miaka 50 ya uhuru Berlin tarehe 9.12.2011 waishio maeneo ya Aachen, Köln, Düsseldorf,Essen na vitongoji vyake, tafadhali sana tuwasiline katika email hii emmmy_27@hotmail.com ili tuweza kupanga mambo ya transport and accommodation.
Asanteni
"Emmy"
Kuhudhulia!!!!! Elimu hiyo.
ReplyDeleteLugha Gongana Watanazania sijui ndio watu gani rekebisheni juu hapo.
ReplyDeleteMichuzi mzee wakubania Comment ambazo hata si za kuchafua hewa na unasubiri Page mpaka isogee ndio uweke Comment.
ReplyDeleteSasa huyu aliyetungika tangazo,mbona jina lake hataji? au cheo chake katika kamati ya watanzania huko ujerumani,naona kama ni tapeli fulani anakusanya email za watu
ReplyDeleteget lost
ReplyDeleteAsanteni wadau kwa masahihisho yenu,Tunajifunza kila siku na kiswahili ni lugha ngumu!
ReplyDelete