Miss Universe Tanzania,Nelly Kamwelu Reppin' her beautiful country Tanzania at the swim suit presentation of the Miss International 2011,in China

Nelly Kamwelu at the Tree Planting with other Miss International 2011 Contestants
Nelly Kamwelu (R) on the Group Photo after Dinner @ The Hotel
Official Group Swim Suit Photo of the Miss International 2011 Contestants.Vote for Nelly Kamwelu to win Miss International
ANKAL PICHA YA KWANZA JUU INACHAFUA HALI YA HEWA KUNRADHI LOL
ReplyDeletenice bikini nimempenda huyo kifaru kwenye hiyo bikini...wapeleke peleke kamwelu tuwakirishe vilivyo na usiwe mgumu kujiachia ndio moja ya trick za ushindi....
ReplyDeleteuwa sielewi nguo za kuogelea na viatu virefu?
ReplyDeletendio maana kila siku tunaishia kujitaidi tu,mpaka lini tutakuwa watumwa wafikra,nafikiri huyo binti alikuwa miss Tanzania kwa kikwazo cha weupe tu?
ReplyDeletestay black stay beuty,sioni kama anasifa ya kuwakilisha TANZANIA; kujikobowa ni utumwa wa fikra, hatawanaotengenezea hizo dawa hawazitumii, au ushasikia wachina wote wamepigwa pasi?
Ankal waelekeze watu namna ya kumpigia kura nelly hapo kwenye vote box ulipotuelekeza imeandikwa kijapani hatujui cha kufanya. Hiii ingesambazwa kwenye blog nyingine ili watu wengi waweze kupiga kura
ReplyDeletemacho yangu ama? naona kama miguu pinda hivi
ReplyDelete