Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara wa Shirika la Nyumba la Taifa,David Shambwe akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa uuzaji wa mradi wa nyumba mpya za Ubungo,katika hoteli ya Movenpick  jijini Dar es Salaam leo.Kulia ni Meneja Uhusiano wa Shirika la Nyumba la Taifa,Muungano Saguya na Kushoto ni Meneja Masoko wa Shirika la Nyumba la Taifa,Itandula Gambalagi.
Baadhi ya Waandishi wa Habari waliohudhuria kwenye Mkutano huo uliofanyika kwenye ukumbi wa Mikutano wa hoteli ya Movenpick jijini Dar es Salaam leo.

======= ========  =========   =========

Today at Movenpick Hotel, once again National Housing Corporation (NHC) has officially announced the sale of New Units to be built at Ubungo, This was announced today by the Mr David Shambwe who is the Director of Business Development at National Housing Corporation. 

David started by inviting Tanzanian residents and non - residents who are interested to purchase the house in our newly constructed apartments at Ubungo surburb of Kinondoni Municipality.The project is expected to be completed within 9 months.

Ubungo Residential Apartments are located at the junction of Morogoro and Shekilango roads and can easily be accessed and are also linked to the critical facilities such as Health, Schools and Shopping just to mention few, He clarified. 

This is new development is within the complex, famous known as Ubungo flats. This development will bring new better living to the existing tenants of NHC by providing them with improved facilities such as a secured gated community, provision of shopping centre, water reservoir, paved parking spaces and sports facilities (sports ground). The two bedrooms apartments are found within a modern five storey building in 4 blocks each constitute 20 units in total.

During the press, David Shambwe insisted that we are not selling the existing apartments, we will only sale the newly constructed units.

The sale of Ubungo Apartment is among the series of NHC projects aiming at fulfilling the Corporation Strategic Plan of constructing 15,000 Units of which 10,000 Units for Middle and Upper and 5000 Units for Affordable segments. David indicated that, the Selling price for an apartment will be TZS 67,946,567.86 (VAT exclusive).

David insisted that, in this project the corporation has given special price consideration to Tanzanian. Most the margins have been reduced to make sure the project is affordable to the buyers, we have only 80 units available for sale. Therefore, we encourage people who are interested to comply for a fair and transparent selection of who would be interested to purchase should respond as soon as possible.

The interested individual’s purchasers are required to observe the following process;

1. The interested purchaser should collect “House Purchase Application Form” from NHC – Head Office, Ubungo Residential Apartments project sales office which is located on site, any other NHC regional office countrywide or you may download the forms via NHC website (www.nhctz.com)

2. The applicant should submit the dully filled and signed “House Purchase Application Form” together with proof of 10% down payment (of the property value) as a commitment of his/her desire and ability to purchase.

3. All successful applicants will receive letters of offer for house purchase. They will be given 90 calendar days, from the date of the letter to finalize the payment of the remaining 90% of the value of the house applied. The payment plan can be evidenced either by cash deposited in the project account or by conformation of mortgage offered by one of the participating financial institutions.

4. Upon the expiry of the 90 days period without the submission of the proof of payment plan, NHC will allocate the house to another bidder in the waiting list. The applicant who misses the opportunity due to inability to pay 90% will be given a chance to use the 10% down payment for either applying for another house in other NHC projects or be refunded. If the applicant opts to be refunded she/he will be subjected to deduction of 2% of the deposited amount.

5. The waiting list will consist of an extra 20% beyond the allocated applicants of the available units and had made down payment but missed out due limited number of available units.

6. The 10% down payment paid by either defaulters or members from the waiting list may either use the same to apply for a house in other NHC projects or ask for a refund.

7. Once all allocated buyers have settled all due payments as per their commitments, NHC will declare the sales of the project units is closed.

8. NHC will process unit titles/title deeds and hand them over to the buyers who paid in cash or to the respective financial institutions that provide mortgages.

Terms and Conditions Apply

Additional information:

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. Elimu Si Elimu Muwe Mnaweka kwa KISWAHILI haya maelezo sio mnakula wenyewe tu muwe mnaeleza kwa kiswahili na kupitisha mitaani watu wayajuwe haya maelezo watanzania tuwe tunapendana. MZ

    ReplyDelete
  2. Watanzania na sisi tuingie kwenye carne ya leo. Ni lazima kujifunza lugha za wenzetu. Kama ni kiingereza, kichina, kijapani... ili mradi sio kiswahili tu utadhani sio wananchi wa ulimwengu huu. Hata ughaibuni, wazungu lazima wanajifunza lugha mbili, tatu!

    ReplyDelete
  3. MIE NIPO NAKUBALIANA NA WA KWANZA TATIZO SIO KWAMBA KUTOKUJUWA KIENGEREZA HII NCHI NI LUGHA YA KWANZA KISWAHILI, LAZIMA FOMU ZIWE KWA KISWAHILI NA KIENGEREZA KITAFUATA BAADAE AU WATENGENEZE MFUMO WA FOMU ZA AINA MBILI(2) NA KIENGEREZA ILA KISWAHILI KIWE MBELE, HAO WANAUJIFUNZA LUGHA TATU na NNE UNAYOSEMA MAMBO YAO YANAANZA NA LUGHA ZAO LAZIMA MUELEWE HILO MSIWE WAKAIDI. USHAURI WAKO PIA WA LUGHA 3 SI MBAYA KUNA WA CHINA NA WAHINDI WENGI HAPA NCHINI ZIWE 4. MZ.

    ReplyDelete
  4. WAJAMENI HAYO MAVYUMBA NDANI YA MAGHOROFA SI YA KWENU NDO MAANA HAPO INAWALENGA WAGENI.
    ANGALIAGA HATA HAYO MABEI YENYEWE KWELI MWANANCHI GANI ATAWEZA KUJIKINYA NA KUTOA MILIONI 67. HATA UKIPATA HUO MKOPO WA BENKI, UTALIPAGA MALAKI MANGAPI KWA MWEZI KULIPA DENI?
    KWA MUFANO: NYUMBA MILIONI 67+KODI= MILIONI 84 SHS.
    WAKITAKA ULIPE KILA MWEZI KA LAKI KAMOJA, KWA MWAKA UTALIPA MILIONI 1 NA LAKI MBILI.
    UKIGAWANYA HIYO MILIONI 84 KWA KA LAKI KAKO KAMOJA, UTALIPA KARIBU MIAKA 70. MWEEH. MKOPO WENYEWE NIMEPEWA NINA MIAKA 50. HIYO MIAKA MINGINE 70 ITATOKA WAPI WAJAMWENI? SIKU HIZI MTU KADRI YAKE YA MAISHA NI MIAKA 65-70 KWA MWANAMUME. SASA...DUH MASANJA HAPO WAJAMENI SI NTAKUFAGA KWA KIHORO.
    NGAJENI KIDOGO. HIVI NAKUMBUKUGA MWALIMU NYERERE ALISEMAGA HIVI:
    "KULENI KUKU MAYAI MBOGA SAMAKI MAZIWA. KULENI CHAKULA BORA CHA KUUJENGA MWILINI NA KUJENGA NYUMBA SAFI PA KULALA PAWE BORA! NIMATAFUTAGA HAPO BORA KILA KONA HAKUNA. NIKAAMBIWAGA HIYO KAMPUNI YA BORA ILISHAKUFAGA. III. KWELI WAJAMENI?

    ReplyDelete
  5. mimi swali langu kwa bwana shambwe je kama mtu ukiweza kulipia asilimia 10 au asilimia 40 malipo ya awali(down payment),je malipo ya jumla yanatakiwa yakamilike ktk muda gani?shukrani.pia hongereni sana nguvu mpya kasi mpya.huu ni uwezeshaji ambao taifa liliukosa na linahitaji.BIG UP.......

    ReplyDelete
  6. Anon wa Wed Nov 16,05:1300 AM 2011 kwa jinsi nilivyoelewa mimi baada ya kusoma kwenye gazeti baada ya kulipa down p/ment ya asilimia 10 unatakiwa ukamilishe malipo mengine ndani ya muda wa siku 90, ki-ukweli hizi nyumba sio kwa watanzania na kama watanzania sio wenye kipato cha chini na ndio maana hata lugha hapa imetumika kithungu mana wabongo haituhusu - MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA NDUGU.

    ReplyDelete
  7. wewe Saidi si umeambia balaance yaani namaanisha ukishalipa down payment 10% iliyobaki ambayo ni 90% unatakiwa uimalizie kwa kipindi cha siku 90.ni sawa na miezi mi3,la hujamaliza unanyanganywa anapewa mtu mwingine.kwa upande wangu bei iko juu.

    ReplyDelete
  8. viwanja wamepewa bure na serikali, wanatuuzia wanancha mamilion ya pesa, wakati milion 100 tu imejanga gorofa zima eboooooooooooooooo

    ReplyDelete
  9. Mhhh..mimi kwangu binafsi naona ujenzi wa nyumba hizo umewalenga matajiri wakubwa na wageni kutoka nje..Mtanzania wa hali ya kawaida hawezi kumudu gharama za nyumba hizo hata kama atachukua mkopo riba yake itakuwa juu..utajikuta unafanya kazi maisha yako yote kulipa deni la nyumba.Wenzetu kule Uingereza nyumba zao za serikali ni bei nafuu zaidi na zinawasaidia wananchi.Yani hapo wanawaandalia mafisadi kununua hizo nyumbana kuaanza kuzikodisha kwa madola ya hajabu.Its not feasible kabisa.

    ReplyDelete
  10. Ni utaratibu mzuri ila watanzania wangapi wataweza kufaidika? Kwa sababu gharama ni kubwa na pia Bw.Shambwe ameongelea tu malipo vipi kuhusu quality za hizo nyumba na guarantee zake ? kwa mfano Kwa muda gani NHC itakuwa tayari kufanya matengenezo ikiwa mara tu baada ya mteja kununua kuna matatizo ya cracks au kupasuka kwa mabomba na especially hayo matatizo yatakuwa siyo ya mnunuzi?

    ReplyDelete
  11. Ni utaratibu mzuri ila watanzania wangapi wataweza kufaidika? Kwa sababu gharama ni kubwa na pia Bw.Shambwe ameongelea tu malipo vipi kuhusu quality za hizo nyumba na guarantee zake ? kwa mfano Kwa muda gani NHC itakuwa tayari kufanya matengenezo ikiwa mara tu baada ya mteja kununua kuna matatizo ya cracks au kupasuka kwa mabomba na especially hayo matatizo yatakuwa siyo ya mnunuzi?

    ReplyDelete
  12. Habari hii inakanganya. Hizo nyumba zimeshajengwa au bado? Katika aya ya kwanza tunaambiwa ...sale of new units to be built... Hii inaonyesha kwamba nyumba hizo bado hazijajengwa, lakini aya ya tatu inasema "Ubungo Residential Apartments are located at..." Hii inaonyesha nyumba hizo zishajengwa. Tunaomba ufafanuzi zaid kwa sisi ambao hatupo Dar.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...