Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika,Profesa Jumanne Maghembe akimkaribisha Balozi mpya wa Japan nchini, Bwana Masaki Okada alipofika Ofisini kwa Waziri kwa ajili ya utambulisho na kuongelea mambo kadhaa yanayohusu sekta ya kilimo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. wacha weee hmmmmm hiyo smiling si mchezo,

    ReplyDelete
  2. thamaki hao... pande za upareni...

    ReplyDelete
  3. Waziri anajifanya amefurahia jambo fulani kumbe acheka hilo jina la huyo Balozi wa Japan baada ya kusikia anaitwa "Masamaki:-) teh teh

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...