
Mshindi
wa kwanza wa ubunifu wa mavazi wa shindano la 'UNI fashion Bash' ,Irene
Rwakatale (kushoto) akipokea akipokea zawadi yake ya shilingi laki saba
kutoka kwa Meneja wa Redds, Victoria baada ya kutangazwa mshindi wa
shindano hilo jana.

Mshindi wa kwanza wa shindano la wanamitindo lililojulikana kama 'Uni Fashion Bash',Respicious Denis (kushoto)kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) akipokea zawadi yake ya shilingi laki tano kutoka kwa mwakilishi wa TBL kanda ya kati John Tesha, baada ya kutangazwa mshindi katika shindano hilo lililofanyika ukumbi wa Royal Village mjini Dodoma jana.

Baadhi ya wanafunzi kutoka vyuo malimbali vya mjini Dodoma wakishangilia wakati wa shindano hilo.

Baadhi ya wanafunzi kutoka vyuo malimbali vya mjini Dodoma wakishangilia wakati wa shindano hilo.

Mwanamuziki wa kizazi kipya, Mwana FA, akishambilia jukwaa wakati wa shindano hilo.

Baadhi ya washiriki wa shindano la mitindo lililojulikana kama Uni Fashion Bash kutoka vyuo mbalimbali vya mjini Dodoma wakicheza wakati wa utambulisho lililofanyika Royal Village Dodoma jana.

Baadhi ya washiriki wa shindano la mitindo lililojulikana kwa Uni Fashion Bash kutoka vyuo mbalimbali vya mjini Dodoma wakicheza wakati wa utambulisho wa shindano hilo lililofanyika kwenye ukumbi wa Royal Village mjini Dodoma jana.

Baadhi ya washiriki wa shindano la ubunifuwa mavazi lililojulikana kwa Uni Fashion Bash kutoka vyuo mbalimbali vya mjini Dodoma wakitambulishwa jukwaani wakati wa shindano hilo.
Wakati wa Mwl Nyerere ujinga kama huu ulikua upo Ulaya tu. Sasa tunaambiwa tupitishe haki ya ma GAY tunalalamika nini?? Ujinga mtupu!!!
ReplyDeleteEti Wanaume wazima wamepozi kama......!!! Jamani tunaelekea wapi??!! Utamaduni wa mtanzania uko wapi? NImeechoookaaa na upuzi huu.
Au sisi tuliozaliwa. kusoma na kukulia wakati wa awamu ya kwanza tumepitwa na wakati??/
Mdau wa kwanza sijui unachouliza ni kitu gani lakini mwishoni umejijibu mwenyewe! Looh kumbe wewe umesoma wakati wa nyerere basi makubwa, ndio maana akili zenu zilikuwa finyo. kitu gani wewe unaona cha ajabu hapo au kwa sababu mlikuwa hamna TV wakati ule?
ReplyDeleteWAKE UP! WE ARE NOW LIVING THE LIFE.
THIS IS 2000 YRS AFTER JESUS
Mdau London
Kaka,
ReplyDeleteHiyo picha ya 3 toka juu bora UNGEWAKATA MIKONO hao waliosima kuliko ulivyotukatia MIGUU hao waliokaa chini.
Daa! Umetukatili sana!
ni
ReplyDeleteIRENE LWAKATARE
hilo ndio jina lake kwanini majina ya watu hawaulizwi kabla ya kwenda kwenye press??????
Wewe ulioko huko London unajiona umeendelea sana kwa kufurahia mijanaume inajidharaulisha ee.Kwani kama alisoma wakati wa Nyerere ndio hapakuwa na TV?Huu ni upumbafu mkubwa tena kwa nchi yetu kujidhalilisha na kujiunga na mashindano yasiyo tuhusu.Wenzenu haya ndio utamaduni wao na Africa kuna tamaduni zetu.Kwanini hatuvumbui jambo litakalo fanana na uafrica kuliko kwenda kujidhalilisha na kuvalishwa vichupi majukwaani.Nitakuwa happy kama kutakuwa na mashindano ya kiafrika ktk bara hili ili kuukuza uafrika na sio uzungu.Tujipende na tuwe wabunifu.
ReplyDeleteKwa hio wewe mtoa maoni tues,Nov22,12:38 AM 2011! Naona wewe ni mpinzani kumbuka aliekufundisha kusoma na kuandika alitoka huku laa sivyo ulikuwa bado upo kizani. Wewe ulitka wavae kaniki? ndio vazi unalolipendekeza wewe? Sasa kumbuka sio Tz ya hivi sasa, hapo ni usomi kwenda mbele. watu kama ninyi ndio mnaofifiza maendeleo, ngou walizovaa babu zetu ndio na sisi tuvae hizo hizo? Kama uliandika kwa mkono hivi sasa generation haijui kazi hiyo, wanachojua ni PC. Sijui kama uko nami au bado umelewa na miaka ya 1970? Ungeanza kampeni ya kupinga fassion shows hapo bongo ili watu warudi kwenye asilia ya CHOUNLAI na Kaniki.
ReplyDeleteMdau Uk