Washindi wa shindano la Redd's Uni-Fashion Bash mkoa wa Kilimanjaro wakiwa katika picha ya Pamoja mara baada ya kutangazwa washindi kwenye ukumbi wa Glaciers - Shant Town,mjini Moshi hivi karibuni na kuhudhuliwa na mamia ya wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu mkoani humo.
Baadhi ya Washiriki wa Redd's Uni-Fashion Bash mkoni Kilimanjaro wakipita jukwaani kuonyesha mavazi wakati wa Tamasha hilo lililofana sana Mkoani humo,hivi karibuni.
Mmoja wa Majaji wa shindano la Redd's Uni-Fashion Bash mkoani Kilimanjaro,Costantine Magavila (katikati) akitangaza washindi wa Shindano hilo.
wanafunzi wa vyuo vikuu vya mkoa wa Kilimanjaro wakimshangilia mmoja kati ya washiriki wa tamasha la Redds Uni Fashion Bash 201.
Wanafunzi wa vyuo mbali mbali vya mkoani Kilimanjaro wakiendelea kutazama shindano la Redd's Uni-Fashion Bash wakati washiriki wakipita na mavazi yao huku umakini mkubwa ukiwa umetawala.Tamasha hilo lilifanyika kwenye ukumbi wa Glaciers - Shant Town,mjini Moshi hivi karibuni

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...