Home
Unlabelled
SWALI LA KIZUSHI LA LEO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
That question sounds almost oxymoronic,but think again.
ReplyDeleteMtu hawezi kuwa milionea bila kuwaibia raia wengine. Wizi upo rangi mbili.Uko wizi wizi na wizi unaoruhusiwa na sheria, ie wizi legal and illegal.There is a limited amount of wealth for all to share, if we share equally we will all have food on the table, lakini kuna wajanja, kwa maarifa yao wachukua shea zao na shea za wenzao kwa ujanja wao, hivyo kujifanya matajiri na kutuwacha sisi wengine masikini.
You dont have to shout at me for I know you may not agree with me.
Mdau wa Sat Nov 5, 04:45:00 PM ninakubaliana nawe kabisa. Kwanza nimpongeze msanii aliyebandika hoja hii - napendeza na kufikirisha. Ukiona mtu aliye na kitambi cha pesa (vitambi vingine ni ugonjwa au mchezo wa taputapu) basi ujue kuna watu kumi waliokondeana kutokana na kuhakikisha kitambi hicho kiko endelevu! Ndio chanzo cha harakati za kupambana na ufisadi. Tutoke nje ya Bongo: OCCUPY movement (99% vs. 1%) tunayoshuhudia huko USA ni matokeo ya 'legalized' theft. Ndiyo, dunia hii haiwezekani bila wizi!
ReplyDeleteinawezekana nini sasa? huu msemo hauna kichwa wala miguu,
ReplyDeleteidiot! sasa hii ina elimu gani kwa jamii nawe michuzi unaedit au unatuma tu?
ReplyDeleteWewe mdau hapo juu wizi ni wizi tu uwe legal au illegal. Ila sijawahi kusikia wizi kuwa legalised, au unazungumzia hapa kwetu ambapo watu hawapelekwi mahakamani hata ikithibitika kwamba wameiba kwa kutumia kalamu au vyeo vyao?
ReplyDeleteDunia bila wizi haiwezekani kwani watu wote tutakweenda peponi sasa shetani atakuwa na wafuasi gani?