Waandishi wa habari wakiangalia tamthilia mpya ya kichina iliyotengenezwa kwa lugha ya kiwahili Dar es Salaam wa kutambulisha tamthiliya hiyo iatakayoanza kurushwa hivi karibuni katika kituo cha Televisheni cha TBC.
Ofisa wa Kituo cha Radio cha Kimataifa cha China, Lin Shaowen (kulia), Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC), Clement Mshana wakiangalia tamthilia hiyo. Kushoto ni Balozi wa China nchini, Liu Kinsheng
Ofisa wa Kituo cha Radio cha Kimataifa cha China, Lin Shaowen akimkabidhi zawadi Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC), Clement Mshana katika mkutano na waandishi wa habari, Dar es Salaam, wa kutambulisha tamthiliya ya kichina iliyotengenezwa kwa lugha ya kiswahili. Kushoto ni Balozi wa China nchini, Liu Kinsheng 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. ni sawa lakini si kila jambo linamanufaa kwetu,hii nisawa na kusema sisi na wachina damudamu pale ambapo unakuta wachina wanauza pipi na urembo kariakoo n.k lakini pengine labda ndivyo ilivyo.

    ReplyDelete
  2. mkoloni mpya kaingia mjini!!

    ReplyDelete
  3. Big up sana wachina, tusaidieni kutangaza kiswahili.

    ReplyDelete
  4. Anony wa kwanza usiwalaumu Wachina. walaumu viongozi wetu mambumbu wanaotunga sheria za uwekezaji zisizokuwa na "future". Hawa wachina mngewawekea masharti juu ya aina gani ya uwekezaji mnataka, wangefuata. Mimi naona wangehamasishwa kufungua viwanda vya usindikaji wa vyakula pamoja na kuanzaisha kilimo cha kisasa. Na mkakati uwekwe kwa watanzania kujifunza kile wanachofanya na hatimaye kuja kumiliki uchumi sisi wenyewe.

    ReplyDelete
  5. karagabahoo sisi wabonngo tupotupo tuu sasa wachina watusaidie maswala ya unyumba
    watukazie wake zetu kwani sisi bana hatuwezi kitu chochote

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...