Tuna furaha kuwajulisha ndugu zetu wa mji wa Leicester UK pamoja na miji iliyo karibu kuwa Inshaallah SALA YA EID EL ADH-HA itasaliwa kwa utaratibu ufuatao:
SIKU: Jumapili 6-11-2011
PAHALA: Taylor Road Primary School, Taylor Road, Leicester, UK, LE1 2JP
WAKATI: Takbeer zitaanza Saa mbili kasorobo asubuhi (7.45 am)
Sala itaanza Saa mbili na Robo asubuhi (8.15 am)
Madrasatun Nuur Leicester inawatakia Waislamu wote Sikukuu Njema
EID MUBAARAK
allah is mohammedan musilm god.
ReplyDeleteallah is not the same god of abraham, moses and christian.
msiwe na jaziba kama mnataka 100% contact me on
twalibunikhan@yahoo.com
mtashangaa jinsi mlivyo danganywa.
jamaa ana kitu cha NY hapo, yaani balaa
ReplyDelete= = =
buffalo,
new york
Mdau twalibunikhan
ReplyDeleteNidhanivyo wewe ndiye mwenye JAZBA!!
Hili tangazo ni mwaliko wa Sala ya Eid. Sasa tena mambo ya kampeni za udini yamekujakujaje?
Nionavyo dukuduku lako hapa si pahala pake, lipeleke kunakohusika.
Labda ungeanzisha na wewe dhehebu lako, ukatafuta wafuasi ili uhubiri hayo uliyonayo.
Fanya mambo kwa kufuata taratibu zake, usitafute umaarufu kwa kutumia matangazo ya watu. Wewe toa tangazo la hiyo itikadi yako tutakuja kukusikiliza, maneno yako yaki make sense utakuwa nawe mwanzilishi wa dini MPYA, nawe utakuwa MTUME MPYA.
Otherwise si uungwana kuvamia vamia matangazo ya watu
EID MUBAARAK TWALIBUNIKHAN!!!!
Mndengereko, Ukerewe
Hawa jamaa wakati wenzao wanaenda shule wao walikua madrassa.Ss hv wanajarb ku catch up but its 2 little 2 late.Michuzi ukibana na hii its ok coz ur the boss and I don't give fuck bt tht. But hey!Muslims get the fuck out of Christians. Am not sorry 4 'em either, if u feel like it tastes like funny pork spit it out. Forget we forget you. And you Michuzi, if ths doesnt get along with you very well, i dont care coz its wat 'tis.Gud luck Muslims.
ReplyDeleteHuyo TwalibKahn lazima atakuwa chotora wa kihindi . lakini si makosa yake lazima atakuwa mtoto wa n-- ya ndoa , msameheni wadau.
ReplyDeleteWewe mdau wa nne hata unachokiongea hukijui wewe ni masikini wa kila pembe.Waisilamu walikuwa wasomi kabla wakoloni hawajafika na ndio wakawasaidia kuwasomesha ili muungane nao na kuwabatiza hiyo dini waliyowaleteeni.Waisilamu tulikuwa na vyuo vikuu kimojawapo cha mlimani na mmekichukua na kuwadhulumu waisilamu.Mmekuja ktk miji yetu ya waisilamu na kutaifisha mashule yetu yote halafu serikali yenu ya mfumo kristo ndio mpaka leo miaka 50 ya uhuru wameifanya nchi kuwa masikini na elimu ya chini sana pamoja na kuuza ardhi ya watanzania.Madrasa haidhoofishi elimu ila inakuza kiwango cha elimu.Na wewe inaelekea bado unawakubali wakoloni kwasababu mmezoea kutawaliwa lakini waisilamu hawapendi kutawaliwa.Kwanini hamkai ktk miji yenu na kuja kujazana ktk sehemu za waisilamu???Kazi yenu kuendeleza propanda tu za uongo lakini ya ukweli hamuyapendi na ndio maana mfumo kristo unaendeleza coruption ndani ya nchi na kuwafaidisha wachache bila kujali taifa.Wapeni nchi waisilamu halafu muone uongozi utakavokuwa na nchi itakavobadilika.Michuzi tafadhali usiibane hii.
ReplyDelete