By Lusekelo Philemon

They included the controversial land, foreign and security issues
Sitta: We have decided to leave the issue to the Heads of State
East African Cooperation minister Samwel Sitta

Tanzania held back from signing a document for the heads of state summit beginning here Wednesday, citing inclusion of controversial issues like land, foreign and security policy in the envisaged EA political federation.

East African Cooperation minister Samwel Sitta speaking to journalists after chairing a meeting of the Tanzanian delegation confirmed that they had refused to sign the documents after the issues were retained.

He said that his delegation had resolved not to sign the documents and that they would leave the matter to be decided by the Heads of State.

Delegations of ministers and technocrats from the other four partner states, signed the document, leaving the space for Tanzania to endorse the document.

The Tanzanian delegation decided to get out of the Council of Ministers' meeting and convene at another hotel in Bujumbura under minister Sitta after noting the inclusion in the document of the controversial issues.

Permanent Secretary in the Ministry of East African Cooperation, Stragomena Tax- Bamwenda told reporters: “These are very serious issues,” adding that a statement on the country’s position would be issued later.

Other EAC member states delegations are apparently pushing for the issues to be part of the envisaged EA political federation.

Tanzania’s deputy minister for Industry and Trade, said Lazaro Nyalandu, clearly stated that land will not be part of EAC political federation; noting that there were some member countries, eyeing the country’s land with a “greedy eye”.

The minister said that there are some member countries which are trying to refresh past discussions on land, while it was fully discussed during the common market protocol, whereby it was agreed that the issue will not be part of the EAC.

“We’ll never allow the issue to feature in the EA federation, because to do so is to betray our own people. There are member countries which are struggling to bring back the issue of land in the regional bloc’s set-up,” he said.

He said that Tanzania was “firm” and will not be shaken by anyone when it comes to issues of national interests. “The government is committed to ensuring that all resources of its people are well protected for their own benefit.”

The Singida North MP explained: “Tanzanians have their own culture. They are free to move from one place to another within the country. So, the available land is for Tanzanians and its future generations.”

Other issues which cropped up in the meeting include the issue of having a common foreign and security policy, of which Tanzania asked for more time to consider, saying it has signed a similar protocol with the Southern African Development Community (SADC).

For her part, ministry’s PS stated that Tanzania will remain focused on various issues related to EAC affairs.

She said the delegation in the EAC council of ministers was interested to see the integration go step-by-step to the envisaged political federation.

“We would like to see the already signed protocols benefiting our people before rushing to the other stages. Where are we rushing to?” she queried, stating: “Integration is a process, hence we want our people to start enjoying the benefits of the already signed protocols before advancing into other areas.”

Tanzania is being blamed by other member states for what was described as “delaying” the integration process, apparently in its keenness to ensure that everything signed in the regional bloc is in the interest of its people.

Revived in 1999, the new EAC is made up by Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda and Burundi with a population of over 130 million people.

SOURCE: THE GUARDIAN

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 20 mpaka sasa

  1. Hawa watani wa Jadi wanataka kuleta ujanja ujanja. Wabongo wa leo wameamka. Why include in the contract/agreement the issue of land?

    ReplyDelete
  2. Good move govt, and remain stable...no land, no controversial issues, PERIOD!!!!

    ReplyDelete
  3. Abraham MwapongoNovember 28, 2011

    I commend the Tanzanian delegation for their firm stand. I believe that Tanzanian land should be for Tanzanian's and many thanks to Hon Nyalandu who did not only think about Tanzanian's now but also considered the future generations. Its up to us now to preserve land for our children and their children. I urge the Government to remain unwavering on this issue.

    ReplyDelete
  4. Ao wanaosema TANZANIA inachelewesha mambo wao wanharakia nini? Mbona hata kwenye European Union kuna vitu uwa wanakubaliana kutokukubaliana, sio kila kitu lazima tukubali. ukiona wenzako wana kikubali upesi kina manufaa kwao. tunashukuru viongozi wetu kwa kuwa macho katika hili msibadili msimamo. Ardhi yetu ni yetu.

    ReplyDelete
  5. Safi sana viongozi wetu.
    Hao majirani zetu wana ajenda zao za siri na ni dharau kubwa kutaka kutufanya sisi wajinga, na wakicheza tuko tayari kuachia ngazi kwenda kivyetu.
    Wanajua wenyewe Tanzania ni taifa kubwa.
    Tanzania ina resourses nyingi kuliko nchi yeyote katika EAC.
    Pia ujanja wao upo katika ardhi na utalii, tuwe makini sana hapo. NO SIGNING UPUUZI WAO!

    ReplyDelete
  6. hii ni safi sana. serikali msidanganyike hata kidogo. mki sign watanzania tutakiona. msisahau wakenya ndio hao wamevamia somalia kwa kisingizio eti wazungu wawili wameuawa, security reasons na kulinda biashara ya utalii. wana uchu sana na ardhi yetu na madini yetu.

    ReplyDelete
  7. Ni hatua zuri wamechukua wakisaini tumekwisha itakuwa kama kenya tutachinjana kwa ardhi na matabaka kama mimi msukuma siwezi kuwa na ardhi lindi na natumaini Raisi kikwete asilogwe akasaini sababu waraisi wetu wa Tanzania sijui bwana !!!!!!!!!

    ReplyDelete
  8. Tanzania's LAND is not like someone's shirt!..
    WE HAVE A SOLID LEGACY THAT
    -----------------------------------
    ''LAND IS THE PROPERTY OF STATE OCCUPANT SHOULD BE CITIZEN PERIODIC TENANT FOR 33 YRS''
    -----------------------------------
    Hivi kama ardhi ni mali binafsi ya mtu , zaidi ya kuacha urithi nyuma pana atakaezikwa kaburini akiwa na umiliki wa ardhi aliyonayo???

    WELL DONE TANZANIA GOVERNEMENT!

    ReplyDelete
  9. smart move!well done.

    ReplyDelete
  10. Nawapongeza kwa msimamo huo. Raisi chondechonde usije ukakubali wakakulaghai hao majirani ukasaini. Utakuwa umetumaliza.

    ReplyDelete
  11. EAC (Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki)...ndugu zetu tupo tayari na tunatoa karibu kwa ushirikiano ktk kada zote tukiwa makini sana,,,Masuala kama 1.ARDHI,2.PASIPOTI ZA USHIRIKIANO NA NINYI, na 3.FEDHA/BENKI,,,kwa msingi wa hii MIAKA 50 YA UHURU WETU 1.TUMEKATAA,2.HATUTHUBUTU,3.NA TUTABAKI NA MSIMAMO HUO HUO DAIMA!!! Hatuwezi kuingia mkenge na kusaini kijinga na kupindisha ''Wosi wetu wa ardhi kuwa ni mali ya Serikali'',,,!

    ReplyDelete
  12. Hawa ndugu zetu ktk hii EAC wanatuchukulia sisi wa TZ kama Mzee Jangala!

    ReplyDelete
  13. Kenya sehemu kubwa ni Jangwa!.

    Uganda ardhi yao tindikali ktk udongo kwa unyevunyevu na tope kibao!.

    Rwanda sehemu kubwa ni milima milima, tambarale adimu!.

    Wakenya, Waganda na Warwanda waache ndoto za mchana juu ya ardhi ya Wa Tanzania!.

    ReplyDelete
  14. Big up govt! Msimamo uwe ni huo huo hasa kwenye masuala muhimu yanayogusa maslahi ya kitaifa na watanzania.

    ReplyDelete
  15. Ninyi wandugu zetu ktk Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki (EAC)...Ni majuzi tu miaka ya 2001 na 2002 sisi Tanzania tulijaribu kuanzisha Pasipoti za Afrika Mashariki kwa nia njema kabisa..mwishowe ninyi mkawa wa kwanza kuhalifu utaratibu wa pasipoti hizo kama hapa chini:

    ''Passport regulation breaching''

    1.Huko kwenu kwa kuzitumia kuingizia Wageni mliohisi ni hatarishi ila walio na faida upande mmoja na wasio ktk Sheria.


    2.Pasipoti zilikuwa ni kwa matumizi ya ndani ya eneo letu Afrika Mashariki na nchi zenye mipaka na eneo hili, ninyi mkatumia kwa safari za mbali.

    3.Mlizitumia vibaya Pasipoti hizo kwa kusafirishia Wakimbizi (WaSomali na Wengine) kwenda Ulaya na Marekani.

    SERIKALI YETU MAKINI ILISITISHA PASIPOTI HIZO ZA AFRIKA MASHARIKI MARA MOJA.

    MSIMAMO HUO INABIDI TUWE NAO KWA KIPINDI HIKI MAKINI KTK USHIRIKIANO NA HAWA WATU.

    Msifikiri sisi Mabwege kwa kutuletea mipango mingine kama hiyo mnayoleta sasa mibovu!

    ReplyDelete
  16. Jamaa hawa Wajanja sana wameona muda huu Tanzania tunazungumzia Katiba...wameona tutabana mipango na nia yao tukaingiza masuala haya ktk Katiba...sasa wanaona wata chezea shilingi chooni, ndio maana wanatujia kihivi kutuwahi tusije tuka chomoka, wanaleta MIKATABA YAO MIBOVU YA KUTUINGIZA MKENGE...HATUINGII NGĂ“..!!!.

    ReplyDelete
  17. Anonymous wa 11 (Kumi na Moja kutoka juu)

    HIVYO HIVYO NAKUUNGA MKONO!!!
    HAWA JAMAA NDUGU ZETU AFRIKA YA MASHARIKI TUTASHIRIKIANA NAO KTK MAENEO MENGINE ISIPOKUWA HAYA MATATU HAPA CHINI:

    1.ARDHI
    2.PASIPOTI
    3.FEDHA NA BENKI

    SORRY CHALE!

    ReplyDelete
  18. Anonymous wa 11 hadi wa 17, Wadau sawa kabisa,,,kwa masuala haya matatu:

    1.Ardhi,2.Pasipoti,3.Fedha na Benki

    Tumekataa kata kata kushirikiana nao kwa sababu hizi hapa chini:::

    1.Jamaa wana rekodi kubwa na mbaya ya Usanii,uhalifu na ujanja ujanja ktk sekta zote kuanzia benki hadi hati,kalamu na karatasi/nyaraka.

    2.Jamaa wameharibu sana nje kwa pasipoti zao sasa watataka zetu ili kujikinga na misala.

    3.Hawana sera ya ardhi kwao,,(UKABAILA NA UBEBERU UMEOTA MIZIZI) waliojilimbikizia ardhi wameshapata waliobaki ni makabwela hadi kaburini,,,mtu kuwa na uwanja ukubwa wa kaburi ni ishu ktk Kenya!...usisikie ,utaogopwa na kusujudiwa (unaitwa Land Lord),hakuna vijiji unapovuka mpaka kuelekea Kenya, watu wanaishi mji hadi mji hii ina maana ardhi imehodhiwa tayari na Makabaila inawezekana tajiri yupo Nairobi au Ulaya, na haiendelezi ardhi ameiweka Bond bank au Masoko ya Hisa (Mortgadge)amevuta pesa ndefu anafanya shughuli zingine... hivyo wanataka kutoka kupitia ardhi yetu!

    4.SERA MBOVU YA ARDHI:
    (i)Ni nani anaweza kuzaliwa akiwa amejaaliwa na umiliki wa mali fedha au ardhi mkononi (akitokea tumboni kwa mama yake)kama sio urithi kutoka kwa wazazi waliomzaa?
    (ii)Hivi ni nani atafariki na kuzikwa na umiliki wa ardhi aliyonayo, kama hata acha urithi nyuma?
    (iii)Sera yetu ya ARDHI ya Tanzania kuwa ''Ardhi ni mali ya Serikali'' ni yenye akili sana na inaendana na wakati,kitu ambacho jirani zetu EAC na nchi zingine duniani hawana ila chache tu!

    ReplyDelete
  19. Wadau wa kutoka juu wa 11 hadi 18, Haya ni mambo nyeti sana kwetu,,,

    Suala la Ardhi...mtu anazaliwa akiwa mikono mitupu na uchi wa mnyama maskini kabisa, labda anarithi kwa wazazi kitu,,,anakufa na kuzikwa kaburini akiwa hana chake, isipokuwa urithi kwa aliowaacha nyuma.

    SERA: isemayo ''Ardhi ni mali ya serikali'' bora iwe hivi.

    Kwa maana ya zaidi ni kuwa ARDHI NI MALI YA MWENYEZI MUNGU, NA ISITOKEE KUWA MALI YA MKENYA, MGANDA AU MNYARWANDA kwa kuwa NCHI YAKE HAINA SERA MAKINI YA RADHI!.

    ReplyDelete
  20. Taratibu za Umoja wa Jumuia sio kwamba kila kitu kinachopendekezwa lazima mwanachama ukubali...Mfano Umoja wa Ulaya baadhi ya mambo wanapishana na wanakataa nchi zinginezo ktk Umoja.

    Kama sisi suala la ardhi na mengine ambayo tunaona haitafaa kukubali, tunapoteza maslahi tunayo fusra kukataa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...