Kamishna wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania,Sufian Bukurura akimkabidhi zawadi ya Tuzo Katibu Mtendaji mstaafu wa Tume hiyo Japhet Sagasii wakati wa hafla ya kuwaaga wastaafu wa Tume iliyofanyika ukumbi wa Land Mark Dar es Salaam.
Kamishna Bukurura akitoa nasaha wakati wa hafla ya kuwaaga wastaafu wa Tume
Kamishna Bukurura akimkabidhi zawadi ya Jokofu dereva mstaafu wa Tume Salum Mtanga.
Katibu Mtendaji wa Tume mstaafu Japhet Sagasii akiwapa nasaha za mwisho Kaimu Katibu Mtendaji wa Tume Agnes Mgeyekwa (wa kwanza kulia) na Angela Bahati ambaye ni Mkuu wa Idara ya Mapitio katika Tume.
Makamishna wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania wakiongozwa na Bi. E. Manyesha wakati wa kupata chakula, anayefuatia ni Kamishna Msangi na Jaji mstaafu Mwipopo.
Shampeni zikifungiliwa.
Baadhi ya watumishi wa Tume wakiwa katika hafla hiyo.
Kamati ya maandalizi ikihitimisha hafla hiyo (Picha zote na Ofisa Habari wa Tume Munir Shemweta).
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...