Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. Am very happy with my mthungu husband tukiamka yeye anaandaa chai mie naanda kids for school nxt day yeye anaadaa kids mie breakfast,nikipika tukimaliza kula yeye anosha vyombo! nikifua yeye anpasi stress free! ndio maana wadada wa kitz wankimbilia kwa wathungu zaidi lol utumwa wa nnini huo! hope this song will teach wengi! well done dada

    ReplyDelete
  2. WELDONE SIMPLE VIDEO AND GOOD NICE, REALLY GOOD MASSAGE FOR THE WOMAN. NICE JOB GIRL.

    MDAU USA

    ReplyDelete
  3. A good art work. But; men; we are not that bad!!! It used to be those days when men do not help their other halves, but now the world has changed. Men do cooking; washing up; even look after the kids; and not just getting stuck on TV's. Health and safety for the Kid in the kitchen was not observed!!! Burn hazard.
    Voice----- Excellent. Keep it up. You should come up with something praising that same man portrayed as unhelpful in the video. To Balance. Overall; good work! Congratulation

    ReplyDelete
  4. Am loving this, it is really good, not just about what she does in the house, for me this is just a hint of what we women do in the society

    ReplyDelete
  5. Eti mwanaume yupo radhi kutokula msosi kisa mke wake hajampakulia huku akijua kuwa ni mgonjwa na kajipumzisha. Lenyewe linalalamika tu huku linaangalia TV. Tena mbele ya wageni, mafi kabisa!

    ReplyDelete
  6. Baraka BigurubeNovember 11, 2011

    I think it expresses what is going in most African families; One day we will say "Change has come"

    ReplyDelete
  7. CLASSIC! CLASSIC! TRUELLY A WOMAN's WORK!.

    FRANCIA THIS IS MORE THAN EXTRA FACTOR. THE SONG HAS EVOLVED IN A SKILLFULL WORK OF ART.

    1.INDUSTRYWISE: GOOD VOCALS; SKILLFULL ENGENEERED AND MASTERED SOUND.

    2.WELL COMPOSED POETRY.
    3.CULTURALLY: JUSTICE DONE TO ROLE MODELLING OF YOUNG GIRLS. THE MESSAGE WILL EDUCATE THEM TO BECOMING GOOD MOTHERS OF THEIR CULTURAL ORIENTATION IN THIS DAY AND AGE.
    4.YOU LEAD THE YOUNG GIRLS TO DANCE IN A VERY ATTRACTIVE AND RESPECTIVE WAY. GOOD EXAMPLE.

    FRANCIA, YOU ALWAYS DON'T STOP TO SUPRISE AND EDUCATE US IN A CHEERFULL AND PATRIOTIC WAY.

    KEEP IT UP, WE KNOW THE BEST R' YET TO COME SOON.

    MAINA A. OWINO.

    ReplyDelete
  8. Kwakweli mi nimelia this is very nice song. Si wanaume wote wamefunguka macho wengi wameoa na kufanya wake zao watumwa, keep it up my love

    ReplyDelete
  9. Wimbo mzuri - lyrics etc. I'm not too sure regarding the message though as times have changed; most men do help & don't behave as the one in the video. If there're any who've not changed then this message is for them. Otherwise lovely lovely song! Hongera dada Francia Chengula wa Reading.

    ReplyDelete
  10. DADA NIMEPENDA SANA VIDEO YAKO HUSUSANI KWENYE MAVAZI YA HESHIMA. WASANII WENGINE WANAVAA NGUO NUSU NA MAENEO NYETI YOTE HADHARANI ILI KUUZA NYIMBO.HAPA UMEWAFUNDISHA SANA. UBORA WA NYIMBO NI UJUMBE SI MAVAZI NUSU UCHEEEEEEEEEEI.

    NDIMI BABA YENU

    ReplyDelete
  11. Anony wa kwanza maoni yako yamejaa stereotype aina ya generalization. Wathungu wako hao wana-culture zao, weusi na sisi tuna-culture zetu. Elewa kuwa sio wanawake wote wa kiafrika wanapenda kuingiliwa jikoni na waume zao. Hivyo basi usigenerelize. Kwa mila na desturi za kiafrika tokea Alexandria mpaka Cape town jikoni ni mahala pa mwanamke kujivunia. Kazi anayoifanya mke au niseme mwanamke mwenye familia kama mimi jikoni ni muhimu sana kwa familia yangu na wageni wangu? Wadhungu ni wajanja na welevu wa kugeuzageuza maneno, wao wanao utaalamu wa hali ya juu ya kuwakosoa watu wasiofanana nao, lakini pia wanadharau ya kuona kuwa mambo ya watu wangine ni ya ovyo ovyo tu, ila yao ndiyo muafaka na safi kabisa. Kwa hiyo basi wewe kaa nae huyo wako, endeleeni kudadilishana kama makubaliana yenu yalivyo. Sisi/ Mimi pia nitaendelea na wangu na mila zetu. Hapa hakuna utumwa kama ulivyobwabwaja. Wala sio kweli kwamba dada weusi wanawakimbilia wathungu. Huo ni ugonjwa ulionao wewe kichwani mwako, pole sana.

    Huyo mwanamuziki kalala kaamuka katunga wimbo katunga wimbo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...