Vodacom Miss Tanzania Salha Israel was spotted rocking a 'Peacock Dress' from the Jungle Paradise Collection by Anna Luks a Tanzanian London based designer @ the Miss World 2011 Top Model Competition.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. Hapo naona tatizo, angalia huyo wa nyuma, body na nguo na hata mwendo,tofauti kabis ana wa kwetu huyu wa kwetu anaonekana yuko stiff, halafu nguo inampwaya na mwendo unaonekana hauko ki model ,anaonekana kama hana kiuno. haya maandalizi mbona kama hayaeleweki .

    ReplyDelete
  2. Michuzi umeamua kubana comments zetu tulizotoa? Huu mjadala ni nyeti sana. wacha watu watoe mawazo yao bila kubaniwa.

    ReplyDelete
  3. Cute Salha. Mwa! Mwa! Mwaaaaaaaaa!
    xoxo! Tunakutakia kila lakheri ushinde.

    ReplyDelete
  4. Eeh; mbona kama kavaa gunia???

    ReplyDelete
  5. OMG what has landed into her head? ohhhh now i know was haloween night!

    ReplyDelete
  6. Mtoto kaumbika huyu!

    ReplyDelete
  7. Anko, mpe mwakilishi wetu contact zangu hapa UK. Mimi nina kampuni ya usafirishaji hapa UK. Akimaliza mashindano tuanza taratibu za kupoza. Hana haja ya kurudi bongo.

    ReplyDelete
  8. miss wetu ni mrembo,ila basi pozi punguza,na pia kiaina haya mashindano kwa upande wa mavazi kama yanaupendeleo lkn kama ni wa moja ni wa moja tu,kila la kheri bibie

    ReplyDelete
  9. jamani mbona aibu,gauni gani hilo tena?hata mazishini siku hizi kuna matilio ya nguvu,mambo ya kujuana hayo,TAMAA MBAYA.

    ReplyDelete
  10. Beautiful, beautiful, beautiful. She is beautiful, fantastic outfit. Hata akivaa gunia atapendeza. Sio lazima kuvaa nguo za wazi na kuonesha mwili ndio kupendeza. She looks lovely. congrats Miss TZ wish you all the best

    ReplyDelete
  11. Huyu binti yetu hajui kama wenzake wanaonyesha uzuri na siyo culture zao hapana, kwanini kajifunika hivi mpaka uzuri wake hauonekani kabisa, sijui kama itakuwaje?

    ReplyDelete
  12. jamani mtoto hajafundiswha cat walk lol angalia anavyotembea ndio maana nguo haionekenai vizuri, she is not comfortable. anatemebea kawaida cheki huyo wa nyuma

    ReplyDelete
  13. basi nyie ufisadi tu. Kwani ufisadi ni pesa tu kuna mafisadi wa watoto wa kike mtu yuko kazini wewe unataka kumharibia, kafie mbali nyangau we. Utamwona hivyo hivyo jicho lako lisimpate. Kwani hata gunia linapendeza.

    ReplyDelete
  14. Hao wanaosema kwamba hakupendeza wana wivu tuu. wiiiiivu. Binti amependeza na kuweka heshma yake. You have made us proud. This is what Tanzania is about. We are a proud nation and carry ourselves with dignity. Kuvaa na kuonesha mwili is not beauty, probably desperation because one is not confident of one's body, until they walk half naked. Stop putting the girl down and just admite she looks beautiful with her dignity intact. Well done girl you have done us proud. Na wengine wote acheni wivu. We do not care about who is behind her. We care about her only. Wiiiiiivu acheni.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...