Wadau wakubwa wa Globu ya Jamii na wafanyabiashar ya zao la Shayiri Bw. Adam Mbogoro (kushoto) naBw. Nicholaus Simango  baada ya kula nondozzzz zao za Social work (Adam) na Nico (utalii) katika mahafali  ya 23  ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania wikiendi hii  yaliyofanyika Bungo, Kibaha, mkoa wa Pwani ambapo  Mgeni rasmi alikuwa Makamu wa Rais Mh Mohamed Ghalib Bilali.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...