Baadhi ya Washiriki wa Warsha ya Rasim ya Muongozo wa Kusimamia Mafuta ya Kupozea Mashine na Mitambo ya Viwanda (Polychlorinated Bipheny, PCB) inayofanyika kwenye Hotel ya Bilinda Mjini Dar es Salaam
Washiriki wa Warsha ya Rasim ya Muongozo wa Kusimamia Mafuta ya Kupozea Mashine na Mitambo ya Viwanda (Polychlorinated Bipheny. PCB) wakiwa katika Picha ya Pamoja Mara Baada ya Ufunguzi wa Warsh huko kwenye Hotel ya Bilinda Jijini Dar es Salaam(Picha na Ali Meja).
Kwanini hayo mafuta yanahitaji usimamizi maalum? Kuna madhara gani kama hakuna huo usimamizi?
ReplyDelete