Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira, Dk. Terezya Huvisa (katikati) akipata Maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Nishati wa Kampuni ya Green Resources,Bi. Roselyne Mariki (mwenye fulana ya orange) kuhusu Mabaki ya Mbao yanavyofanyiwa Fanicha kwenye Kiwanda cha Saohill Indaslry Wilaya ya Mufindi Mkoa wa Iringa{Picha na Ali Meja]
Home
Unlabelled
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira atembelea Kampuni ya mbao ya Green Resources mkoani iringa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...