Home
Unlabelled
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Tz-Uk nowadays hatuna umoja mbona tu wanaccm ndo wanajitangaza ss Watz hatukusanyiki kwa pamoja na kusherehekea uhuru? Michuzi naomba usinibanie maana cku hizi nawe!!!!
ReplyDeleteKumbe wewe hujui kama hata huu ubalozi ni wa ccm we mtu wa kawaida unaweza kwenda pale lakini hakuna wa kukusikiliza
ReplyDeletekwani hamjui hili tukio la kuandaa miaka 50 limebinafsishwa kwa maslahi ya kibiashara ya watu flan flan?
ReplyDeleteama kweli bongo ufisadi hadi ulaya........
Imagine watu watatu wanapamba ukumbi na kanga za ccm eti wanasema wanaccm washehekea miaka 50 ya uhuru wakati ni watu 3 tu, Je huu ni ungwana? kweli uhuru wa wanaccm tu.
ReplyDelete