Home
Unlabelled
diamond alonga na jestina george kuhusu haya na yale...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hana jipya huyu hawa wasanii wa bongo kazi ipo.
ReplyDeletekaka samahani na mie bwanangu nanino....
ReplyDeleteDada wema
dada wema kama huyu braza hakutaki usimlazimishe kuwa nae kumbuka siku zote mtu akikupenda huna haja ya kuueleza ulimwengu mambo yote huwa yanajileta yenyewe. kama si huyu basi kumbuka kunae wako ambae unaweza kuwa humwoni ila yuko tu tizama vizuri.
all the best
WEMA USIPATE TAABU VUMILIA KIDOGO TU MIMI NITAJITAHIDI KUYAONDOA MAUMIVU YAKO YA MAPENZI ILA KWA SASA NIPO UGH'AIBUNI NATARAJIA KUJA BONGO WAKATI WOWOTE NITAKUTAFUTA JINA LA UTANI NAITWA SHANGARORO(USA) NAIMANI KWA UWEZO WA MOLA UTAYASAHAU YOTE YALIYO KUPATA.
ReplyDeleteAtazima kama alivyoanza.
ReplyDeletetemana nae unalazimisha mapenzi na wewe mwenzio jokate kashachukua mzigo mwachie yanini kushea ulimwengu mzima unajua heri ingekuwa siri hapo sawa sasa hivi haifai mteme wanaume wapo wengi khaaaaaaaaaaa
ReplyDeleteDiamond, Mambo ya kurukaruka na warembo ukafkiri ni uanaume ni ya kizamani. Ujana maji ya moto, dogo tulia.
ReplyDeletewalikuwepo waliovuma bongo hii na leo wanaomba bia bar, ushauri wng kwa huyo dogo kwa kuwa shule hana ajitahid kujipanga kwa future yake, kuna umri utafika bongo fleva haiimbiki tena. ajifunze kwa waliuomtangulia hasa Mr. Nice!!!!!!!
ReplyDeletepure childish (form two-ish) stuff going on. na watu wenye akili zenu mnalea hii tabia!!
ReplyDeletembona link yenyewe imekatika
ReplyDeleteyale !yale,kutumbuiza wabongo na wakenya lini?wasanii wetu watatumbuiza majukwaa makubwa ya ulaya?
ReplyDeleteAmempata mwingine alipokuja Uingereza? Haya we niliposema hawatadumu mlisema tunachonga sana. Within 3 moths yametokea.Waliovuma Tz ukimwi umewachukua haya haya ya kujiona mwanaume. Ila kumbukeni wazuri hawaishi
ReplyDeleteNgono Zembe ni sera iliyopitwa na wakati ,kisasa ni malengo ya maisha tu!,,,hizi ni zile za miaka ya 90's, ile ya 80's na ile 1978 hukooo!
ReplyDeleteNAOMBA NA MM NIPIGIE MSTARI JAMANI...WASANII WENGI KAMA SI WOTE WALIOVUMA DAR WALIONDOKA NA NGOMA...MBONA HAWA DOGO HAWAELEWI!??!?!?!?!?!?!?!?!?!?!?!?
ReplyDeleteWewe mdau hapo juu usiseme wasanii tu walioondoka na ngoma hata maofisini,ktk makampuni,serikalini,majeshini nk. watu wengi wameodoka,ila kwa sababu wasanii wana majina wakifa ni lazima ulimwengu ujue ukilinganisha na wanaokufa maofisini nk.
ReplyDelete