Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Umenifurahisha sana na hii clip ya Charlie Chaplin! Jamaa namzimia hakunagaaaaaa.

    Happy boxing day to all!

    ReplyDelete
  2. Sisi Zenj tulikuwa tukiziita Chale Mnene na Mwembamba miaka 30 iliyopita!!

    ReplyDelete
  3. Nimefurahi na good old Charlie Chaplin na vituko vyake!

    Asante uliyeweka hii clip.

    ReplyDelete
  4. Ann. wa "Mon Dec 26, 04:54:00 PM 2011", Huyo Charlie mwembamba na mnene humaanishi Laurey na Hardy (Stan & Oliver)kweli? Hwa nao ni aina nyingine ya wachekesheji! Kusema ukweli hakuna cha Mr. Bean wala nini, ukimuacha Charlie Chaplini wanaofuata ni Stan & Oliver). Ebu wadau wanaoweza watuwekee clip zao tuendelee kujichekea na hii end of the year holidays!
    Mi sio wa long hivyo, ila napenda classic movies na vichekesho. Na nimejitahidi nikaziona DvD za hao wahusika nyingi kweli, lakini hazinishi hamu!

    ReplyDelete
  5. Laurey na Hardy ndio Chale mnene na Chale mwembamba ZNZ wanamaanisha Chale kama mchekeshaji Lauren na Hardy wale ni kichwa kengine nasikia Yule mnene Ndio Baba yake na Clint Eastwood.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...