Bw. Suleiman Saleh,Afisa Ubalozi wa Tanzania Washington DC akimkaribisha Ubalozini Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge inayoshughulikia Hesabu za Umma Mhe. John Cheyo(Mb.) ambae amefuatana na Mhe. Betty Machangu(Mb. CCM Viti Maalum Kilimanjaro)ambae pia ni  Mjumbe wa Kamati ya Nje,Ulinzi na Usalama ya Bunge  na Bw. Theonest Ruhibalake, Mkurugenzi wa Bunge.    Mhe. Cheyo na ujumbe wake wapo Washington DC kutembelea majengo ya Serikali pamoja na kujionea wenyewe hali halisi ya majengo hayo.
 Bw. Suleiman Saleh akiwa katika picha ya pamoja na Mhe. John Cheyo,Mhe. Betty Machangu  na Bw. Theonest Ruhibalake ndani ya Ubalozi wa Tanzania Washington DC.
Afisa Ubalozi Suleiman Saleh akiwa na Mhe. John Cheyo na ujumbe wake mara baada ya kutembelea  jengo la zamani la Ubalozi wa Tanzania Washington DC

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Yasije yakatukuta kama yale ya Rome-Italia mwaka 2005, jengo la Ubalozi kununuliwa kwa bei ambayo ni mara tatu ya bei halisi!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...