Waziri wa Habari, Vijana Utamaduni na Michezo, Dk. Emmanuel Nchimbi akifafanua jambo wakati wa uzinduzi wa kamati ya kukamilisha mchakato wa kupata vazi la Taifa uliofanyika leo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Habari, Vijana Utamaduni na Michezo, Sihaba Nkinga.
Mwenyekiti wa Kamati ya kusaka vazi la Taifa Joseph kusaga (kulia) akiwa na baadhi ya wajumbe wa kamati hiyo baada ya kuzinduliwa rasmi leo na Waziri wa Habari, Vijana Utamaduni na Michezo Dk. Emmanuel Nchimbi Ofisini kwake jijini Dar es Salaam.(Picha na Francis Dande)
Guys focus on the rain and tragedy in Dar. and what is in store for us in the comming days. ( it may rain even harder in some parts of the country)
ReplyDeleteVazi la taifa halibuniwi ni utamaduni wa enzi na enzi. Vaeni khanga na wanaume misuli si ndiyo vazi letu. kazaneni na kutatua tatizo lilopo.
Wakati watu wanakufa na wengine hawana pa kuishi nyie mpo katika kutafuta vazi la taifa. Miaka yote hiyo mlikuwa wapi? Nyie semeni ni mnatafuta njia za kula pesa za watoa ushuru tu.
ReplyDeletehivi tujiulize, vazi la taifa litatuletea maendeleo gani? Na ni nini haswa kuwa na vazi la taifa wakati sasa ni miaka 50 ya uhuru imepita na hakuna anayejali unavaa nini ili ku represent Tanzania. Kweli TZ tunakosa la kufanya, undemi kamati ya kushughulikia maafa siyo upuuzi kama huu. Who the hell cares umevaa nini, nendeni na wakati. Kwa kusema hivyo sina maana kwamba watu watatembea uchi lahasha, ila najuwa hakuna mtu mwenye akili timamu akafanya hivyo. Kwa hiyo tusilazimishane tuva nini. Atakayependa atavaa hata gunia ili mradi katoka. Mkisikiliza huyo kusaga ndiyo tutaishiwa kabisaaaa, redio yake tu ya Clouds anashindwa kuicontrol na fake presenters wake kila kukicha wanaibua upuuzi tu redioni ili waonekane black americans. Death with vazi la taifa.
ReplyDeletetunapoteza muda na kulipana pesa za bure kwa kamati za kijinga kama hili.Tatueni matatizo mazito kwa kufanya kazi kwa bidii na kuwalipiua mafisadi wanotafuna mali zetu.Matatizo makubwa tuliyonyo: Umeme,maji.chakula,ugawaji wa ardhi,elimu.Na haya pia hayahitaji kamati bali ni viongozi waliopewa madaraka kufuata mwongozouliopo ili tupige hatua.Sasa ndio naona umuhimu wa Azimio la arusha na kwa sababu gani hawa mafisadi waliuvunja kinyemela.
ReplyDeleteSerious these kind of disregards to reality and the blight of our people and nation really make me ashamed to call myself a Tanzania sometimes. Women and children tonight will be sleeping outside in the rain, no food for some or dry clean clothes including fresh water. All these guys could think about is vazi la taifa!!! We are really messed up and hope we gather or mind well otherwise it will be another 50yrs of disaster!
ReplyDeleteHomer Simpson
Serikali au Taifa haitizami au kuchunguza nini wananchi wanataka? wao zaidi hutumia njia zao za tufanye kitu gani tuingize pesa tufaidike wao wenyewe, wa-Tanzania kuna mengi ya elimu ya kufanya kushinda hayo hebu kuweni na busara jamani kuhusu vazi la Taifa halitotusaidia kitu zaidi tujisitiri tu na mavazi yanayofaa. Fanyeni miundo mbinu ya elimu kwa vijana na wawe wasoma vitabu sana ukitizama Maoni humu utaona wengi wanapinga na haya mambo yao ya kufikiria VAZI LA TAIFA sasa wao wamelikalia kikao la kitu gani? Haya Ndio yanafanya viongozi wakianza kujitetea wanakuwa na Vigugumizi. DD
ReplyDeleteNawaunga mkono wote hapo juu huu sio wakati wakutumia fedha za walipa kodi kusaka vazi la taifa. Huyo Joseph Kussaga ambaye ni mwenyekiti tujiulize amechangia kiasi gani kuua muziki wa asili leo ndio awe na uzalendo wa kubuni vazi la taifa. Mweeeh.
ReplyDeletewho cares? out of touch government cha umuhimu mtu asitembee uchi
ReplyDeleteUkitaka kuona huu ni wizi tizama mavazi waliyovaa angalau wangeenda kuwachukuwa wanakijiji au wavazi angalau mavazi ya asili wanaovaa sawa fanyeni jamani ya maana sie huku tunajaribu kujisaidia na kusaidia na kuwasaidia ila mnakula kama nchi imeuzwa na sie tupewe chetu jamani au wadau mnaonaje? sie hatuwalalamikii serikali ila mambo mnayofanya ndio tunayowalalamikieni hata kama sie wengine tupo fine sio vizuri kukaa kimya wakati wengine wanaumia.
ReplyDeleteCome on Guys, is this really a priority when people have no housing, food, education, trnsport etc. Who will afford hilo vazi, ni wabunge and mawaziri only. Mr Nchimbi, there are more pressing issues than vazi la taifa. I have never heard of such a thing anyway, vazi la taifa hutokana na walivyokuwa wakivaa ma mababu zetu. What a wate of monies on that Committee, wake up Tanzania!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
ReplyDeleteI understand that this was a ministerial initiative - and what an initiative! A national attire develops spontaneously as a result of cultural heritage - it DOES NOT require a physical intervention of this nature. In the years to come, members and non-members of this committee will certainly be looking back wondering about what prompted this initiative. I am wondering now...
ReplyDeletekaka Michuzi, Vazi la Taifa???? Ni la kufanyia kikao? yaani hiyo kamati inaweza kubuni vazi ambalo wahaya, wachaga, wanyakyusa, wafipa, wamanda, wazaramo, wamakonde, wapemba, wasegeju na wakwere wataliona ni lao? yaani la asili yao? Huu ni uzembe wa kufikiri, amini nakuambia. Kwa wakati huu ulikuwa ni muafaka kwa Magufuli kutuundia kamati kwa ajili ya kutengeneza miundo mbinu ya maji taka na maji ya mvua. Fedha zingeelekezwa huko. Hao wanaotakiwa kulipwa huko Mbopo walipwe fidia ili hawa watu wahamie huko haraka na wala isiwe hadithi kama ya watu wa Gongo la mboto! Ni wakati wa kukusanya nguvu ili kufanya mipango endelevu ya kufanya watanzania wenzetu wasirudi kujengwa Jangwani. Aibu kwa wote ambao hawana vipaumbele vya maana. Vazi la taifa? Ni kitu gani? nani anajali? mnataka kufatuta namna ya kuwapa wachina tenda na kupata ulaji? Mimi sijali nani yumo kwenye kamati ila hili wazo halina mantiki yoyote ile.
ReplyDeleteMdau HK
Nasikia waziri nchimbi alieleza kuwa kutakuwa na mfumo wa kamati yake kupokea maoni ya wananchi juu ya kuwepo au kutokuwepo kwa vazi la taifa, na kama wanataka liwepo basi liwe la aina gani na kwa vigezo gani. nadhani tusubiri na tutoe maoni yetu juu ya hili kwani fursa ya kuelezea hisia zetu zikafika kunakotakiwa na kwa njia muafaka itapatikana wakati huo. kama ni kupinga au kuunga mkono, basi demokrasia itachukua mkondo wake.
ReplyDeleteJK unaruhusu jambo hili? watu wanapoteza muda wa kufanya kazi za maana serikalini kwa kujadili vazi la taifa? miaka yote 50 kama hatukujua vazi la taifa, tutalijuaje hii leo?
ReplyDeleteWadau VAZI LA TAIFA ,Pamoja na Mhe. Waziri MCHIMBI, watu mnaweza kupanga Tarehe ya Harusi au Sherehe lakini kabla ya au ndani ya siku husika Pakatokea MSIBA!
ReplyDeleteAngalieni mambo mawili makubwa:
1.Zingatieni maafa yaliyojiri, mvua kubwa+mafuriko
2.Ktk vazi la Taifa msihangaike sana kwa vikao na gharama za bureee anzieni ktk MGOLOLE NA RUBEGA halafu mwende mbele!
uuu ni ujinga wa TZ,,,enzi za nyerere kila kiongozi alikuwa anavaa kaunda suti kumuiga mwalimu na kaunda suti ndilo likawa vazi la taifa japo si officially. kaja mwinyi kaunda suti ikaanza kufa na kuja suti kama enzi zile nyerere alivyokuwa anavaa baada ya uhuru. point hapa ni, TZ hatuna vazi la taifa hivyo tusilazimishane hapa. suppose vazi la taifa linakuja halafu mimi navaa gunia kwenda kuchota maji, je nitafungwa na kupelekwa geza ulole? mnamsikiliza huyo kusaga atawafanya muwe mnavaa kata kundu kama black americans ili mfanye ndo vazi la taifa. oneni redio yake ilivyojaa feki presenters na yeye anaona ujiko, shauri lenu.
ReplyDeleteHata sijui nianzeje nawapongeza wenzangu wote mliotangulia, Kwani vazi la Taifa linabuniwa au inakuwa ni asili kweli hata Waziri umeshindwa kulifikiri hilo jamani, kwan mmasai vazi lake alilibuni wapi na kamati gani? Kwani kuna ulazima gani wa hicho kitu jamani mbona sie tunamatatizo kihivyo na hilo vazi mukilipata tulivae wakati gani au ndo nguo zetu zote tutazitupa ili tuvae hilo vazi la Taifa? Yaani mm hadi naumwa.
ReplyDeletekwani kaunda suti hazitoshi kuwa vazi la taifa?
ReplyDeleteVazi la Taifa ni MAGWANDAZZZZZ ya CHADEMA tu, mnahangaika kupoteza hela bure!!
ReplyDeleteHahahah MAGWANDAZZZZZ ya CHADEMA ni ishara ya Ugaidi!
ReplyDeleteWanaharakati za Kigaidi kama
BLACK SEPTEMBER-Palestiana,
BAADER MEINHOF-Ujerumani,
ETA-Spain,
MEDELLIN COLOMBIA-Colombia
Wamekuwa wakitumia magwanda kama CHADEMA!
Tukikubali MAGWANDAZZZZZ ya CHADEMA kama vazi la Taifa tutakuwa tumependelea Kabila moja tu (Wachagga) huku inchi yetu Tanzania ina Makabila 126 ina maana Makabila yaliyobaki 125 tutakuwa hatuja yatendea haki!
ReplyDeleteThe last few comments show our mindsets - just politicise any genuine argument and it will be cast aside as a political gimmick. Serious questions need to be asked regarding our reasoning capabilities...
ReplyDeleteKweli kabisa hawa wa mwisho waliochangia nadhani wana matatizo ya kifikra.
ReplyDelete