KATIBU MKUU WA CCM NDG. WILSON MUKAMA, AKIMPONGEZA NDG. SIGMAR GABRIEL MWENYEKITI WA CHAMA CHA SPD ( SOCIAL DEMOCRATIC PARY ya UJERUMANI) baada ya kushinda Uchaguzi Mkuu wa Chama na kutetea tena nafasi yake kwa kupata asilimia 91 ya kura zilizopigwa. Uchaguzi huo ulifanyika tarehe 5/12/2011 Mjini Berlin. Mukama alialikwa na Chama cha SPD kuhuduria Mkutano huo.
Home
Unlabelled
Katibu Mkuu wa CCM akiwa nchini ujerumani
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...