Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. LA PRIMA inawaka MOTTO!!!!

    ReplyDelete
  2. UBORA WA WIMBO HUU UNATOKANA NA STUDIO WALOREKODIA LONDON NA WANAMUZIKI WALIOSHIRIKI.KASHEBA SOLO GITAA,KAWELEE SECOND SOLO,LADY MBALA RITHM,DE CLOUD BASS,PADU MACHINE DRUM,KOKO KANYINDA TUMBA,EMEE LUSHIKU,MAKUTA,KASONGO MPINDA NA MZEE KIKI WAIMBAJI.

    ReplyDelete
  3. jamani kijana huyu wa zamani ni hatari mno, kwa wale wa enzi za ujima mutanielewa nasema nini, ila kwa wale wanyonyao bado hawayajui mazingaombwe yake, Bwana mkubwa unanikumbusha mbali sana na hasa nakumbuka wale wote waliokuelewa vema lakini leo hawapo nasi, very sad. nina mengi moyoni ya kusema kuhusu kijana huyu lakini hayatokeki ndani ya moyo wangu, nabaki na maumivu makali yananitafuna taratibu, ila kijana nakupa heshima zako.

    ReplyDelete
  4. mie huyu kijana wa wazamani ananikumbusha enzi za savana(white house)kwanza tunapigana vikumbo kaunta kugombea bia kabla hazijaisha oda ya kwanza unambiwa kreti moja safari bia naenzi hizo hakuana bia ya aina nyingine,unakalia kreti lako mmeweka mduara na wapambe wako mzee kiki kwa mbaali anaita NILIEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!YOO MAGIEEEE SANGO NGAI NALOBITEE HOOHO,BALOBI TOBOYA NGAAA LELELLLLILEEEEEEEEEEE MAMA HOHOOO YEEYEEE MAMAAA SARA KUBWAAAAAAAAAAAA!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...