Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Edward Lowassa akipata maelezo kutoka kwa Afisa Mtafiti Bw. Martin Masalu wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) alipotembelea banda la Ofisi ya Waziri Mkuu wikiendi ilopita Jijini Dar es Salaam katika maadhimisho ya Kitaifa ya Miaka 50 ya Uhuru yanayofanyika katika Viwanja vya Mwl. J.K Nyerere vilivyopo Kilwa Dar es Salaam .
Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. John Malecela akinunua Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alipotembelea banda la Ofisi ya Waziri Mkuu katika maadhimisho ya Kitaifa ya MIaka 50 ya Uhuru yanayofanyika katika Viwanja vya Mwl. J.K Nyerere vilivyopo Kilwa Dar es Salaam. Kushoto ni Mpigachapa  Bibi. Joyce Benjamin wa Idara ya Mpigachapa Mkuu wa Serikali.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. waziri mkuu mstaafu au waziri mkuu aliyejiuzulu?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...