Ofisa Sheria wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania Mercy Mrutu akimpa maelezo mwananchi aliyetembelea Banda la Tume katika maonesho ya maadhimisho ya sherehe za miaka hamsini ya uhuru katika viwanja vya JK Nyerere Dar es Salaam.
Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Christna Sonyi (Kulia) akiangalia ripoti zilizofanyiwa kazi na Tume.
Maofisa Habari wa Serikali waliosoma Chuo kikuu cha Waislamu Morogoro (MUM) kutoka kushoto Fatna Mfalingundi (Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe), Asiatu Msiatu (Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali), Bashir Salum (Wizara ya Kilimo), Hamidu Hamidu (Ofisi ya Waziri Mkuu), Munir Shemweta (Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania) na Hamza Temba (Ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Rukwa) wakiwa katika maadhimisho ya Miaka Hamsini ya uhuru wa Tanzania Bara katika viwanja vya JK Nyerere zamani Saba Saba.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Ankali MUM ni chuo kikuu cha kiislamu na sio cha waislamu

    ReplyDelete
  2. whaat??!! jamani namtoa mwanangu tumaini univ namhamishia morogoro muslim univ. wahitimu wa mmu wote wanapata ajira serikalini ati. Mfumo Kristo Oyee!! Mfumo Kristo juu!!!

    ReplyDelete
  3. Nenda wizara ya Mambo ya nje katizame kuna watu wangapi wametoka ST.Augustine. wizara zote wamejaa ST.Augustine sio hawa wana habari wa halmashauri za wilaya.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...