Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar na Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad(kushoto)akibadilishana mawazo na Mwenyekiti mstaafu wa Chama hicho Bwana Msobi Magene alipokwenda kumtembelea na kumjuilia hali nyumbani kwake Mwanza hivi karibuni.Picha na Salmin Said-Ofisi ya Makamu wa Kwanza Wa Rais Zanzibar
Home
Unlabelled
maalim seif alipomtembelea mzee msobi mageni jijini mwanza
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


kuna jambo hapo. kila siku hawaishi kumtukana Nyerere na Watanganyika. Hata muasisi wao James Mapalala walimtimua ktk chama.
ReplyDeleteWazanzibari tumeshawazoea. Wanatukumbuka watanganyika siku mambo yakiwaharibikia. Lakini wakishatoka kwenye matatizo yao wanarudi kulekule kurusha matusi dhidi yetu.
Ndugu ndivyo walivyo. Kugombana ni hali ya ubinadamu. Umaskini nao unachangia. Tugombane ila tusipigane.
ReplyDeleteHii NDOA YA JINSIA MOJA kama wanavyoiita WAZANZIBARI ,HAINA TALAKA!
ReplyDelete(YAANI MUUNGANO)
Kwa vile wao ndio wananufaika sana nayo!
ILE SITAKI NATAKA YAO NI GERESHA TU!
wazee kama Musobi Mageni ushauri wao wenye busara unahitajika sana katika siasa ya Nchi yetu.
ReplyDeleteKwani mzanzibari ni nani,msimuangalie maalim seif tu. Juzi kulikuwa na mtu akizungumza katika mgogoro wa ardhi zanzibar, jina lake Ramadhani Rupia, je rupia ni wawapi? Kule ni wadanganyika watupu ndio wanaoleta matatizo yote haya.
ReplyDelete