Mchezaji wa mpira wa kikapu wa timu ya Mkoa wa Mbeya,Hamphrey Mwakatundu akifunga goli wakati mabeki wa Mara wakimshuhudia bila mafanikio ya kuzuia wakati wa mashindano ya mchezo huo ya Castle Litle Taifa Cup yanayoendelea Uwanja wa Leaders Dar es Salaam.Mbeya ilishinda 62 - 50.
Mchezaji wa mpira wa kikapu wa timu ya Mkoa wa Mbeya,Hamphrey Mwakatundu (kulia )akijaribu kumpita beki wa timu ya Mara, Mussa Mwambije wakati wa mashindano ya mchezo huo ya Castle Litle Taifa Cup yanayoendelea Uwanja wa Leaders Dar es Salaam.Mbeya ilishinda 62 - 50.
Mchezaji wa mpira wa kikapu wa timu ya Mkoa wa Mbeya akirajibu kuwapita mabeki wa timu ya Mara wakati wa mashindano ya mchezo huo ya Castle Litle Taifa Cup yanayoendelea Uwanja wa Leaders Dar es Salaam.Mbeya ilishinda 62 - 50.
Mchezaji wa mpira wa kikapu wa timu ya Mkoa wa Mbeya,Hamphrey Mwakatundu na mchezaji wa timu ya Mara,Mussa Mwambije wakiwania mpira wakati wa mashindano ya mchezo huo ya Castle Litle Taifa Cup yanayoendelea Uwanja wa Leaders Dar es Salaam.Mbeya ilishinda 62 - 50.
Mchezaji wa mpira wa kikapu wa timu ya Mkoa wa Mbeya,Hamphrey Mwakatundu akiwatoka mabeki wa Mkoa wa Mara wakati wa mashindano ya mchezo huo ya Castle Litle Taifa Cup yanayoendelea Uwanja wa Leaders Dar es Salaam.Mbeya ilishinda 62 - 50.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...