Mkurugenzi wa Tiba na Masuala ya Kifundi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Dk. Frank Lekey (katikati) akikabidhi kwa Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam, Eliya Ntandu, hundi yenye thamani ya sh. mil.5, ikiwa ni msaada wa Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF) kwa watoto walioathirika na mafuriko Dar es Salaam. Anayeshuhudia hafla hiyo iliyofanyika, Dar es Salaam leo, ni Kaimu Mkurugenzi wa CHF, Athuman Rehani.
Home
Unlabelled
MFUKO WA AFYA YA JAMII (CHF) WATOA SH. MIL 5 KUSAIDIA WATOTO WALIOATHIRIKA KWA MAFURIKO DAR
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...