Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Mbunge wa jimbo la Hai,mh Freeman Mbowe akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Taasisi ya Kusimamia Mpango wa Maendeleo ya Wilaya ya Hai ( HAKIDI).
Mbunge wa jimbo la Hai mh Freeman Mbowe akiongoza wabunge wenzake Leticia Nyerere mbunge wa viti maalum Mwanza na Joseph Mbilinyi ,mbunge wa jimbo la Mbeya mjini kupandisha bendera katika ofisi ya taasisi ya kusimamia mpango wa maendeleo ya wilaya ya Hai.
Mbunge wa jimbo la Hai mh Freeman Mbowe akimwagia maji moja kati ya miti 2000 iliyooteshwa katika jimbo hilo.
kwa picha zaidi


Huyu jamaa inaelekea anatamani ikulu kweli, tumemshtukia hatumtaki ng'oooooooooo
ReplyDeleteHuyu jamaa inaelekea anatamani ikulu kweli, tumemshtukia hatumtaki ng'oooooooooo
ReplyDeletebig up sasa ifanye kazi iiifunike mpaka MKUKUTA ili tuzidi kuwakubali
ReplyDeletehongera sana mbowe, naomba Mungu akupe akili zaidi mzee. najua we kichwa...huyo jamaa anayesema unatmani ikulu kichwa kimeoza
ReplyDeleteasante sana bwana mbowe kwa kazi yako nzuri. asante tena sana kwa wewe na wenzio kupanda miti kulinda mazingira. vitendo kama hivi ni vya kufanywa tanzania nzima ili kuleta maendeleo. wabunge amkeni ili muanzishe mipango ya maendeleo majimboni kwenu. wewe hapo juu mwenye akili ndogo acha ujinga kwasababu kusaidia mambo ya maendeleo si kutaka kwenda ikulu.
ReplyDeletewewe unayesema eti huyu jamaa anatamani ikulu nina fikiri una matatizo kichwani. sijui ni binadam wa aina gani hapendi maendeleo. badala ya kuona ili jambo ni zuri unakashifu watu. tanzania sasa tunatakiwa kusonga mbele na maendeleo na sio kusilikiza loosers like you.
ReplyDeleteSawa uhuru wa mawazo,,,lakini mbona hata maoni yako wewe mdau wa kwanza hayana significant correlation na tukio lenyewe!? Tunahitaji mabadiliko watanzania,,,sio kila jambo tulipokee au kulichukulia kisiasa! Mdau-Vancouver, Canada.
ReplyDeleteSawa hizi ndio busara anazotakiwa kuwa nazo Mwana Siasa mwandamizi wa ngazi ya Taifa,,,na sio kufanya Siasa za vurugu,uvunjaji sheria na uchochezi!
ReplyDelete