Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Wilson C. Mukama, akimpongeza Katibu Mkuu wa SPD Bi. Andrea Nahles mara baada ya kuchaguliwa kutetea nafasi yake. Katika Mkutano Mkuu wa SPD, Nahles alipata asilimia 73. Aidha Mwenyekiti wa Chama Cha SDP cha Ujerumani Bwana Sigmar Gabriel naye aliweza kutetea nafasi yake kwa kuchaguliwa kwa asilimia 91 ya kura zote halali.
Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Wilson C. Mukama, akiwa katika mazungumzo na Meya wa Jiji la Hamburg nchini Ujerumani, Mbwana Wolfgang Schmidt wakati wa kufungwa kwa Mkutano Mkuu wa Chama Cha SPD cha Ujerumani. Katikati anayeshuhudia ni Bwana Olaf Schok.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...