Kwako Ankal na jopo la wanahabari wa Globu ya Jamii,
Pamoja na kazi njema mnayofanya katika kuhabarisha jamii nini kinajiri Bongo na duniani (hapa nawapongeza, maana hakuna mnachokosa, nyie ni noumer!) lakini hala hala naomba usituweke kapuni sie wenye maswala ya kijamii ambao awali ulikuwa unatoa sana kipaumbele kwetu ila sasa kama tumefifia vile…
Mie ankal naomba msaada kwenye tuta la pili kuhusiana na CHAKULA CHA USIKU…hivi tunavyoongea nna ndoa changa (mwaka na nusu hivi…) na kwa vile nampenda shemegi yenu, ambapo naye nahisi ananipenda, naomba kujulishwa na wajuzi wa mambo kuhusu hio kitu muhimu kuliko vyote katika kumeremeta.
Swala langu ni simpo tu. Nataka kujua ni mara ngapi natakiwa kula CHAKULA YA USIKU kwa siku, juma ama mwezi, maana mwenzenu jando yangu ni ya sipitali, hivyo sikuwahi kufundwa (hivi wanaume wanafundwaga kweli? Hahahaa) hivyo mie najilia tu kila siku huku nikiwa sijui kama ni sahihi ama nachemsha.
Bila kuwa na haja ya kupiga pembezoni mwa kichaka naomba kuuliza, hivi kula CHAKULA YA USIKU ni lini hadi lini ama mara ngapi kwa siku, juma ama mwezi???
Halahala, na chonde chonde wadau msinikaange. Hapo simaanishi kwamba mwenzangu anakomplaeini ama vipi. La hasha. Yeye nikitaka kula CHAKULA YA USIKU tu ananipakuliagha bila kwere. Tatizo sina uhakika kama namtendea haki ama la….Mie nna umri wa miaka 40 na yeye ndio kwanza kagota 25.
HIVYO NAOMBA KUJUA NILE MARA NGAPI CHAKULA YA USIKU KATIKA SIKU, JUMA AMA MWEZI????
Nawasilisha
Mdau wa Mafia
Kula kila siku kama chakula kipo!!
ReplyDeleteKula mara nyingi iwezekanavyo, mimi wakati wa ujana wangu nilikuwa nakula chakula cha usiku mara tatu kilasiku, kila nikimaliza kula natamani tena nakula tena na tena na tena na mama alikuwa hachoki kunipakulia kila ninapo hitaji, naye alikuwa anafurahia sana, kijana wake ninanjaa ya kutosha, unajua tena njaa kumbwa ndo uzima.
ReplyDeletesidhani kama chakula cha usiku kina idadi ya kuliwa ila nimasikizano baina ya mpikaji na mlaji.hapochacha,ikiwa karidhika mpishi kukupikia kila siku uzuri,pia kuwa makini zungumza naye umjuwe unapo kula chakula umejisikia raha au karaa.na mpishi chakula kinapo liwa anaona raha au karaa.mdau usa.
ReplyDeleteKula chakula wakati wowote unavyojisikia njaa. Basi kama shemeji yetu halalamiki kuwa chakula kinaisha basi chota tu na kula wakti wowote. Tena ikibidi ongeza na piga kama sahani saba hivi.
ReplyDeleteWe kula tu kama mwenzio hajakompleini.
ReplyDeleteMidume mingine hulala tuuuuuu mpaka mwezi ukatike ndio anazinduka. Napo ni usiku wa manane na anataka vya gizani...We kula tu
Hahahaha asante Mdau kwa kuuliza suala hili, na imekuwa vizuri kwa vile ni asubuhi hii tu nimetoka kubadilishana mawazo na watu kuhusu hoja hiyo '' chakula cha usiku'' ktk kijiwe cha kahawa, hapa Dar Es Salaam!
ReplyDeleteNi kuwa waliofuatilia wamesema imethibitishwa kiutaalamu kuwa ,'CHAKULA CHA USIKU SIO IBADA',,,inatosha ukapata mara 2 kwa wiki.(kwa wastani) kwa wanaozidisha hapo inakuwa ni maradhi ya kisaikolojia!
Mfano wanaosema ni lazima kila siku, au zaidi ya mara 2 kwa wiki kwa wastani, ikumbukwe kuwa uzito wa mabao yako unategemea uchache wa kushiriki suala hili, ndio maana wanaozidisha mabao yao mara nyingi yanakuwa ''too short'' hayana nguvu!
hongera kwa kutaka kujua kwa uelewa wangu mdogo chakula cha usiku hakina siku wala saa hakina majuma wala nini inategemea tu na hamu mliyonayo wawili nyie mpendanao maana kama akili iko sawa na hakuna kuboana hakika sio tu chakula cha usiku unaweza ukatoka job jioni ukapata tu si shida pia jaribu kumuuliza mwenzako kama nae anaridhika au anakupa tu kwa sababu ni mke. mimi ni mwanamke binafsi napenda nipewe kila siku hasa asubuhi ni vema zaidi. labda wengine wana maoni zaidi kila la kheri
ReplyDeleteMi sina neno ila wasubiri wenyewe waje wakufahamishe
ReplyDeletebaba hamna fomula, kama ndo mpya kula baba, tena usile kiuvivu, kuna umri na nyakati zikifika utakuwa na displine ya kutumia,
ReplyDeletekwa sisi tuliobobea mara moja au mbili kwa wiki sio mbaya, wengine mpaka mlo mmoja kwa wiki.
(by the way chunga afya yako, ukiyatoa hayo mamaji kila wakati unapunguza afya)
Africa haiwezi kuendelea kwa watu wake kuwa na Mentality mbovu kama hizi.
ReplyDeleteNi mawazo ya kimasikini/kimomunisti kuwaza Ngono tu.
Ukiwa huna cha kufanya ji-keep busy na novel uiongeze akili... na ndiyo siri ya mafanikino ya hawa wenzetu Mabepari.
hamu yenu na nguvu zenu hakuna fomula
ReplyDeleteDalili zote zinaonyesha unahitaji msaada katika kukamilisha huo mlo basi sasa tuwekee jina lako au contact zako ili tukusaidie shughuli...koh koh koh......mmh
ReplyDeletemzee wa pwani.
Chakula huliwa kila uonapo njaa wewe vp unamuuliza nani eti ule mara ngapi kwa siku kula hata mara 100 kama utaweza alimuhimu unakula chakula chako
ReplyDeletemdau simba kapakatwa malindi zenji.
TOA NAMBA YA SIMU NIJE NIKUFUNDE NAMNA YA KUKANDAMIZA MALAJI
ReplyDeleteWete pemba
Hapo kwa muonekano inaonyesha mdau umeowa mtoto mwenye damu changa na anakushinda nguvu sasa mjomba kwanini usitafute wa saizi yako mbona wajane ni wengi tu waliofiwa na wanaume zao ambao mnaweza kuwa na nguvu sawa
ReplyDeletehuyu jamaa banaa.
ReplyDeleteInategemea na apetite yako kama unaweza we piga kila siku kwa kuwa ndoa bado ya moto.kiukweli kama ni mkongwe unatakiwa upumzike siku nyingine uwe na hamu naye...unapokutana naye unaweza ukapiga la kushiba moja la afya.
Jaribu ivo ila ukifululiza kila siku unakinai unatoka nje.
DA SWALI GUMU HATA MIMI NINGEPENDA KUJUA MAJIBU YA WENZANGU ILA MIMI BINAFSI NAKULA MARA 3 AU 4 KWA WEEK,SASA SIJUI NAONEKANA MROHO AU MVIVU HEMEBU WENZETU TUJUZENI.
ReplyDeleteWee gonga tuu kama buffet as much as you can! mpaka aseme nimechoka!
ReplyDeletePole ndugu.
ReplyDeleteNakwambia kula nguvu yako.Lakini hata masamli mwisho hukereketa roho ukizidisha ulafi, kisha utavimbiwa.
acha zako, umri huo wa miaka 40 ulikuwa wapi kujua? Unakumbuka shuka asubuhi....!? Inaonyesha hata radio husikilizi..
ReplyDeleteKama jina linavyosema, chakla cha usiku kinaliwa maramoja kwa siku usiku. Ukila mchana hiyo ni lunch sio chakula cha usiku tena. And kama siku nyengine umeshiba unaweza usile. Au kama upo kwenye diet waweza kula matunda tu na michemsho sio chakula kamili.
ReplyDeletehakuna mda au idadi ya kupata chakula ya usiku mara kazaa rasmi. Ni wewe na kipenzi wako kuelewana na kujifurahia kwa faragha yenu ilimradi msivunye ustaarabu wa watuwengine wa jamiii. Wee changamkia tuu kabda morali haijaisha kutoka kwake, kabda ya ujajiunga na klabu yetu tuliooa zaidi ya miaka kumi tukipata kitu mara mbili kwa wiki tunashukuru. Siyo mbaya majukumu mengi yanachangia
ReplyDeletekula wakati wote unaojisikia ili mradi usimbake mkeo, muandae kwanza kifikira ili utakapoingia asipate maumivu. Biblia inasema msinyimane bali mpatane kwa muda ili mpate muda wa maombi mkajiane tena. hili tendo halina wakati ili mradi lisichukue nafasi ya mungu, maana utakapofanya kila wakati ina maana hutapata muda wa kutafakari utukufu wa Muumba wako. kula mdau
ReplyDeleteINAONEKANA UNAPENDA SANA KULA MSOSI MEN, KWA NINI UWAZIE NGONO TU, INA MAANA UKIKOSA ITAKUWA ISSUE, NDO MWANZO WA KWENDA KUTAFUTA NJE. NAPENDA NIKUSAIDIE WAZA MAMBO YA MSINGI, UNA MIAKA MIWILI KWENYE NDOA BADO UNAWAZA MSOSI WA USIKU. DU WEWE NI HATARI NA KIBOKO.
ReplyDeleteTWAAANGA MDAU ANY TIME TIA CHUMA, ILI MRADI USIKOSE MUDA WA IBADA.
ReplyDeleteNimeipenda hii, kwa kweli hakuna chakula kitamu kama cha usiku, hasa pale kinapopikwa vizuri, kama wanandoa wanajua kuivisha hiki chakula kitamu vizuri kuliwa hapa ndio mahala pake. wengi wamekuwa wakiona chakula kichungu kutokana na maandalizi mabovu, muandae mwenzio vizuri na jitwangie muda wowote unaoutaka, isipokuwa uwe na kiasi katika jambo lolote ulitendalo lisije likawa dhambi kwako, wewe baba.
ReplyDeleteMdau yatasemwa mengi maoni...CHAKULA CHA USIKU isiwe ni kama ibada au dozi ya matibabu, kama ikikosekana ndio tena mambo yanakuwa sio mambo.
ReplyDeleteRaha ya tendo ni kwenda kwa vituo, angalau mara 2 au 3 kwa wiki na ndivyo wataalamu wanavyoshauri kwa sababu hizi:
1.Tendo la mara kwa mara huleta kudhoofika kwa wanajumuia wawili.
2.Mabao ya wahusika wapatao chakula mara kwa mara huwa na mshindo dhaifu na mara nyingi hayazai matokeo, ila kuleta uchovu.
3.Mtu anaeendekeza hulka ya kula chakula mara kwa mara kupita wastani mara nyingi hana fikra endelevu, anakuwa mtu fitna, wivu,dharau, chuki, mtu wa majungu majungu sana anafuatilia sana mambo ya wengine(ndio Makozi meni wanazaliwa hapa), wahusika wana chokana haraka, hawezi kuwa mbunifu hutegemea kuiga watu sana...kwa kuwa Saikolojia yake imedumaa au imekufa kabisa na imebaki tegemezi tu!.
4.Chakula kuliwa bila vituo (yaani kila mara kila siku) huzeesha wahusika,,,hebu angalia wale wenye hulka hii huonekana mtu wa miaka 30 akawa kama wa miaka 60 na ushee!.
5.Wataalamu wanasema mtu anaekula chakula cha usiku kwa mpangilio mara 2 au 3 hivi kwa wiki, huwa na utulivu wa Kisaikolojia, wanakuwa na raha ya maisha na hamu ya tendo, hawachokani, na mara nyingi mabao yao yanakuwa na shindo lenye kuleta mazao, na hii ndio njia wataalamu wanapendekeza kufanya Chakula cha Usiku kiwe ni chenye tija ya Afya na sio madhara.
Sio kama wengine wenye SAIKOLOJIA YA PUNDA KUWA CHAKULA CHA USIKU NI KILA MARA!
Mtu anaekula chakula cha usiku bila mpangilio mara nyingi anakuwa hana maendeleo, saikolojia yake inakuwa ni kitandani tu!
ReplyDeletemdau. huo msossi huliwa kwa afya, na kwa muda wowote wote mkiangaliana kidizaini au mmoja wenu akikiwa na njaa. uroho unaruhusiwa ili mradi unapata ushirikianao wa dhati. hivyo, kama shemeji huwa anakupakulia kila ukiwa na uroho wako wa kila siku, hapo unahitaji kupima kama ni kweli naye anaenjoy isije ikawa amekutengea tu yeye anasoma gazeti! utamchubua ati!
ReplyDeleteHalafu angalia usije ukawa unakula tu bila kutafuna, ingiza tonge na kumeza, ndio maana una uroho wa kila siku kwa mwaka na nusu. tafuna, acha mate yafanye kazi yake, subiria enzems zibariki, na za mwezio zifanye kazi, akishameza yeye nawe achilia. hivyo utakuwa umemeza vya kutosha na kesho yake hutakuwa na njaa kihivyo, ila yeye anaweza kukuomba tena kwani ulimfikisha shambani, akala stahili yake. kwa kifupi, hakikisha unazima break zako wakati unachochea Accelerator yake ili either afike yeye kwanza au mfike wote, usijipendekeze kuwahi!!!
inategemea na stamina yako. inaweza ikawa kutwa mara tatu kama
ReplyDeleteKawaida ni mara tatu kwa cku. Asubuhi, mchana na jioni. Pia unywe maji ya kutosha na usitumie pombe.
ReplyDeleteHIVI WEWE MUONA KUTIA KILA SIKU NA KILA WAKATI , HIVI HATA TV HAMUONI NA MKEO? HAKUNA HATA REDIO AU ULIKUWA NA NKENENGE YA UARABUNI? SAA NGAPI UTAFANYA KAZI AU KWENU MATAJIRI SANA NA HUYO MAMA YEYE HAFANYI KAZI POLE SANA KAMA ULMUOA GOLIKIPA
ReplyDeleteINAONESHA UNA MATATIZO YA NGUVU ZAKO ZA KULA CHAKULA NA NDIYO MAANA UNAULIZA NJE KWA AIBU MAANA UNAONA UNAKOSEA NA PENGINE UNAKAA MUDA MREFU BILA YA CHAKULA. KIJANA WEWE ULIONA WAPI CHAKULA CHAKO MWENYEWE UMUULIZE MTU JINSI YA KULA? NA KWANINI UNATAKA UPANGIWE NA WATU WA NJE JINSI YA KULA CHAKULA CHAKO MWENYEWE? KIJANA ACHA UJINGA BWANA MAMBO YAKO YA NDANI USITAKE USHAURI WA NJE AU LABDA KAMA YAMEKUSHINDA HABARI NDIYO HIYO.
ReplyDeleteNyie kuleni tu. Kila kitu kikizidi matumizi kina madhara yake. Ulafi sio sifa. Mkija kuwa wazee ndio mtajue. Haya mambo yana side effects zake bwana. Mwanamke anachoka anachakaa upesi sana.
ReplyDelete