Mazishi yatafanyika kesho saa kumi jioni jijini Dar es Salaam, Mbagala Rangi 3, maeneo ya Saku, jirani na Kent Secondary.
Marehemu ni mdogo wake Hayati Simba wa Vita Rashidi Mfaume Kawawa, na kabla ya kustaafu alikuwa afisa katika Idara ya Uhamiaji kwa muda mrefu.
Mola aiweke mahali pema peponi Roho ya Marehemu.
AMINA.


tunaomba kwa mungu ailaze pema peponi roho yake
ReplyDelete