Mwanajumuiya wa New York Tanzanian Community, Shaillah Kishumbua akifurahia na baba yake mzazi Mzee Mallya baada ya kulamba nondozzzz ya Masters of Health Administration & Informatics katika chuo kikuu cha University of Phoenix Arizona.
Mwanajumuiya ya New York Tanzanian Community, Shaillah Kishumbua akifurahia na baba yake mzazi Mzee Mallya na mai hazbendi wake bwana Eliofoo Kishumbua (shoto) baada ya kulamba nondozzzz ya Masters of Health Administration & Informatics katika chuo kikuu cha University of Phoenix Arizona.
Hapa Shaillah akipozi na baba yake mzazi Mzee Mallya, Mume wake bwana Eliofoo Kishumbua na kijana wao aitwaye Kennedy Kishumbua.
Hongera Shaillah!
ReplyDeleteMie nimependa kiatu cha Eliofoo.... picha ya chini kabisa... ahahahahahah
Hongera sana wifi... siku nyingi ubarikiwe Mama!
ReplyDeleteHongera sana Phoenix graduate. Umefanya kazi maana Phoenix si mchezo. (Ex graduate Phoenix 2009 ) .
ReplyDelete