Home
Unlabelled
MZIGO WA NGUVU NDANI YA BRILLANTE MENS BOUTIQUE
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ningeweza kuja ila jamaa anayetangaza amevaa hereni, kitu ambacho si utamaduni wetu wa Tanzania kwa wanaume kuvaa hereni. Sina uhakika kwamba vitu vilivyopo ni vya "kiume" kweli
ReplyDeletembona amevaa sanda?
ReplyDeleteJe hizo nguo alizozivaa baadae mnazichanganya na kuwauzia wateja?
ReplyDeleteJamani huyu kaka anaitwa nani, mi nimem mind kwa macho tu lkn, ila ingekuwa poa km tungeambiwa Model jina lake nani.
ReplyDeleteHauwezi kujua labda ningetaka kumbook for my adverts.
Very attractive bro
Kaka E umeuzaaaaa......ha ha ha ! Nitapita ofisini hapo kkujulia hali !
ReplyDeletemtoa mawazo ya kwanza acha unafiki,pumbavu wewe...utamaduni wa mtanzania ni kuishi kwenye nyumba za tembe haya hama kwenye hiyo ya matofali pumbavu wewe!!hatuishi kwenye karne ya kumi na tano vitu vinabadilika,mnafiki mkubwa wewe.
ReplyDeleteupi utamaduni wa mtanzania? madau wa kwanza hapo juu, kukaa vijiweni na kuongelea mambo yasiowahusu ama kutolea macho mambo yasiyokuhusu, ubinafsi, wizi,kutokujali n.k, masai pia anavaa heleni ama ye si mtanzania.
ReplyDeleteAnon wa tatu. Wewe unashauri zipelekwe wapi? Mteja akichagua nguo na kwenda kujaribu kama zinamtosha/zinafaa asipozinunua unafikiri zinapelekwa wapi, kwa dobi??
ReplyDelete