Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) CCM, Itkadi na Uenezi Nape Nnauye akitia saini kitabu cha maombolezo kifo cha Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Il, kwenye ubalozi wa nchi hiyo uliopo Mikocheni, Dar es Salaam. (Pichs na Bashir Nkoromo).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. We haya we,unamuaga dikekta mwenzenu...anabahati sana huyo kim kwani alistahili aionje dhahama aliyawapa na aliyowaachia raia wa NK...alitakiwa nae wamghadafi..ukiishi kwa upanga kufa kwa upanga...au alikuwa nae apelekwe kwenye labour camps alimowafunga wenzie kama wanyama..dunia itapumua kwa amani...alikuwa anatumalizia hewa..bora...thnx God!!

    ReplyDelete
  2. Wewe sema tu na hizo historia za kuzisikia kijuu juu.Huyu ni mtu wa msimamo asiependa kutawaliwa hovyo.Kama kufanyiziana hiyo area yote wameshafanyiziwa na muamerika na kuuliwa kama kuku.Na hao wajapani wameshawaua wachina kama kuku mpaka leo wanayo siku yao ya kuomboleza kitaifa na hawaisahau.Wajapani haohao wamefanyiziwa na waamerika na kutupiwa nyuklia halafu leo wamewekwa kati na kuwafanya rafiki zao kama sio unafik ni kitu gani.Lazima mtu uwe na msimamamo usione tofauti ya south imechangamka na north wamejiinamia ni kwasababu wameekewa vikwazo vya kiuchumi ndio maana wanahangaika.Ngoja waamerika waanguke uone ile nchi itakavokuwa kwasababu sio wavivu kama sisi na technology wanayo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...